Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,467
- 65,789
Hi
Mimi binafsi huyu jamaa sikubaligi hata kidogo kwanza ana mdomo mchafu hana lugha mzuri mbele za watu hata kwa familia yake ilo lipo wazi
Chaajabu yanga wanaendelea kumbeba kwanini walimshindwa simba
Mfano kwatukio la leo hili ni udhariroshaji mwanaume unashindwa kuwa na kifua ukatatua matatizo badala yake unatumia watu ili wamchafue mkeo wa ndoa then unakuja mbele za watu kujifanya huna hatia
Sio sawa huyu wasingempa ubaalozi mpaka pale atakapo amua kubadirika mtoto wa kiume unashindana na mwanamke kweli