Kwanini Google haifunguki wakati mwingi?

Kwanini Google haifunguki wakati mwingi?

Bingili

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
317
Reaction score
815
Wakuu kila mara nikitaka ku google kitu website ya google inakua haipatikani wakati nakuwa na bundle na website zingine zinafunguka fresh tu. Naibahatisha kwa nadra sana

Natumia TTCL. Halotel na voda na zote napata hii shida.
 
Haipatikani kivipi check network labda iko chini
 
Wakuu kila mara nikitaka ku google kitu website ya google inakua haipatikani wakati nakua na bundle na website zingine zinafunguka fresh tu
Naibahatisha kwa nadra sana

Natumia ttcl. Halotel na voda na zote napata hii shida
Ungetaja aina ya simu unayotumia ungeeleweka vizuri.
 
Same problem.
Natumia Google Chrome browser kuingia JF, lakini mara kadhaa napata shida kupenya wkt natumia 4g.
Ila nikiwa YouTube hali ni tofauti napenya bila shida.
Nikiwasha vpn ndo inafunguk faster faster.
 
hata mimi ni hivyohivyo,wataalamu vipi hakuna setting zozote kwenye chrome ambazo zitafanya website kufunguka kiurahisi badala ya vpn!

Sent from my TECNO K7 using Gazeti
 
hata mimi ni hivyohivyo,wataalamu vipi hakuna setting zozote kwenye chrome ambazo zitafanya website kufunguka kiurahisi badala ya vpn!

Sent from my TECNO K7 using Gazeti
Hats mini muda huu napata shida na chrome ni nini !? Ama tcra maana sites nyi fine zinfunguka kama kawa
 
Inawezekana site hii JF forum imelemazwa kwa makusudi,inashambuliwa kia aina.
@Maxecence aje atupe taarfa asilifumbie macho hili ni tatizo.
 
Back
Top Bottom