kwani ngapi ngapi..unataka kusema simba itafata njia ya yanga kuwatandika marefa, viongozi na kutimua makocha kila kukicha huku azam nayo ikianza kuiga tabia za wazee wa EPA..
Kwa wapenda soka la bongo naamini huwa mnafuatilia mwenendo wa ligi ya vodacom, kwa matokeo ya leo kati ya simba na mtibwa najiuliza gogoro msimbazi linaepukika kweli? Hapa wachawi lazima waongezeke zaidi ya Bobani na Nyoso. Anayebisha kama hayo hayatatokea anipesababu za hoja yake...............:wof:
kwani ngapi ngapi..unataka kusema simba itafata njia ya yanga kuwatandika marefa, viongozi na kutimua makocha kila kukicha huku azam nayo ikianza kuiga tabia za wazee wa EPA..
mnyama anatia hasira sana kwa sasa
Kweli aiseeeee, hata ule wimbo wa Masanja Aungurumapoo Simba hucheza nani hauna maana.
nashauri simba aka shababab watafute kocha mweye nywele nyingi zaidi manaake huyu kocha hana nywele sorry la zaidi.Huyu si kocha wa Simba?
mnyama anatia hasira sana kwa sasa