Vipimo ninavyo but naogopa kupima,, itokee nipime nikute ninao kwa kosa gan mim nimefany? Ningekuw malaya sawa but me innocent kabisa, dadaang ngj nilie kwanzPole sana, nenda kapime...
Pengine huna unahisi tu...
Pole sana, ila dalili za ukimwi ni zipi ambazo zipo tofauti na homa kama malaria, au magonjwa mengine.Mimi ni kijana wa miaka 21, lakini nimepitia maisha ya huzuni na msongo wa mawazo japo kwa nje naonekana mwenye furaha, historia yngu inasikitisha sana nimeamua kushare na ninyi, nilipokuwa na miaka 12 nilienda kuomba sindano ya kushonea kwa jirani kwa ajili ya kutengenezea mpira nilikua napenda sana mpira kwa bahati mbaya ile sindano ilinichoma , mwaka 2014 nikiwa na miaka 14 nilianza kuhisi dalili kadhaa za HIV na kuanzia huo mwaka mpaka leo nimekuwa mtu wa mawazo sana nimeshindwa kwenda kupima nikihisi ntakutwa nao, na yule mama naskia anao, Ndugu zangu nilikuwa na akili sana darasan lakn kuanzia form one nilianza kufanya vibaya kwa sababu ya mawazo hayo, form 4 nilifaulu kwa division III ya kawaida yote sababu ya mawazo, baba yngu alinidhihaki kwa matokeo sikumlaumu kwa sababu hakujua machungu niliyopitia na ninayo pitia, najiuliza kwanin Mungu ameruhusu mtu innocent kama mim niteseke mienendo yngu ni mizuri lakn kwanini hili baya linipate? Chuo nimestopisha kwa sasa Nina mpenzi nimempima HIV yupo safe kabisa ananipenda sana Ila sijataka kuwa naye kimwili mpaka nitakapojua mstakabali wngu, wito wangu kwa wazazi vitu kama sindano na vitu vyenye ncha kali ni vya kuwa navyo nyumbani pia vitu kama sindano si vya kuazima tafadhalini, na sio kuwa kila anachopitia mtoto atakuelezea jaribuni kukaa na watoto wenu karibu, kwanin mruhusu wasiokua na hatia walie maisha yao yote?
Msamehe tu, stress nyingi..haujapata hoja yake ni ipi??Umeandika km unakimbizwa,mambo mengi umerundika sehemu moja bila kupangilia.
Kujichoma Sindano,matokeo DV 3,babaako kuchukia,mpenzi wako,chuo,jimama kuwa na HIV .Tulia uandike vizuri kisha ulete mambo
Kwahiyo dalili za HIV umeanza kuona baada ya miaka miwiliMimi ni kijana wa miaka 21, lakini nimepitia maisha ya huzuni na msongo wa mawazo japo kwa nje naonekana mwenye furaha, historia yngu inasikitisha sana nimeamua kushare na ninyi, nilipokuwa na miaka 12 nilienda kuomba sindano ya kushonea kwa jirani kwa ajili ya kutengenezea mpira nilikua napenda sana mpira kwa bahati mbaya ile sindano ilinichoma , mwaka 2014 nikiwa na miaka 14 nilianza kuhisi dalili kadhaa za HIV na kuanzia huo mwaka mpaka leo nimekuwa mtu wa mawazo sana nimeshindwa kwenda kupima nikihisi ntakutwa nao, na yule mama naskia anao, Ndugu zangu nilikuwa na akili sana darasan lakn kuanzia form one nilianza kufanya vibaya kwa sababu ya mawazo hayo, form 4 nilifaulu kwa division III ya kawaida yote sababu ya mawazo, baba yngu alinidhihaki kwa matokeo sikumlaumu kwa sababu hakujua machungu niliyopitia na ninayo pitia, najiuliza kwanin Mungu ameruhusu mtu innocent kama mim niteseke mienendo yngu ni mizuri lakn kwanini hili baya linipate? Chuo nimestopisha kwa sasa Nina mpenzi nimempima HIV yupo safe kabisa ananipenda sana Ila sijataka kuwa naye kimwili mpaka nitakapojua mstakabali wngu, wito wangu kwa wazazi vitu kama sindano na vitu vyenye ncha kali ni vya kuwa navyo nyumbani pia vitu kama sindano si vya kuazima tafadhalini, na sio kuwa kila anachopitia mtoto atakuelezea jaribuni kukaa na watoto wenu karibu, kwanin mruhusu wasiokua na hatia walie maisha yao yote?
Ndy alalamike hivi? Tangu form one Hadi now yupo chuo analalamika ndani Kwa ndani alafu hataki kupima.Anatafunwa na Hofu ya kijinga snMsamehe tu, stress nyingi..haujapata hoja yake ni ipi??
Mimi nimeona hoja yake ni wasiwasi wa kuwa na dalili za HIV, mengine ni porojo tu
Hofu inaua.Ndy alalamike hivi? Tangu form one Hadi now yupo chuo analalamika ndani Kwa ndani alafu hataki kupima.Anatafunwa na Hofu ya kijinga sn
Hahahaah umetishaaNdy alalamike hivi? Tangu form one Hadi now yupo chuo analalamika ndani Kwa ndani alafu hataki kupima.Anatafunwa na Hofu ya kijinga sn
AsanteAcha uzezeta bwege wee. Pimbi mkubwa.
UNADHANI KILA MMOJA HAPA ANA MIAKA 21? MPUMBAVU.
Mkuu hujawai kukutana na watu namna hii kwenye maisha yako....Kuna wanaishi na matatizo lakini wanaogopa kuongea au wanakosa wa kumwambia hadi pale yanapowafika ,sehemu kama humu at least inawasaidia ulitakiwa uwe msaada sio Tena kumsemaNdy alalamike hivi? Tangu form one Hadi now yupo chuo analalamika ndani Kwa ndani alafu hataki kupima.Anatafunwa na Hofu ya kijinga sn
AsanteUmechomwa na sindano 2012, kitu pekee umefanya ni kuandika uzi 2022...
Nenda kapime wewe kijana, acha usanii...
Asante
AsanteNenda kapime, haitabadilisha uhalisia wa hali yako...