Lagrange
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 2,441
- 2,878
- Thread starter
- #21
Pole mkuu kwa msoto wa hasara lakini hata mimi ningekuwa baba yako nisingeweza kurisk biashara kwa kuweka mtu mwenye historia yako ya kufeli na kumtoa mtu ambae kwenye vitabu kazi yake inaonekana, prove yourself kwanza na mzee atakuamini. Kuhusu pesa hizo ni dalili mbaya, kama chini ya uangalizi unaweza kuficha, vipi ukikabidhiwa?
Mimi sihitaji kuwekwa kwenye biashara hata kidogo ,nipo nafanya kama kazi ya nyumbani ,, kwenye kufanya kama kazi ya nyumbani ,ndo hayo nakutana nayo kwa hawa vijana.