bcsolution
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 394
- 177
cha ajabu channel nyingi za dstv,hawa star times wanazo. Labda ni hiyo hakimiliki ya kuonyesha world cup tu!
cha ajabu channel nyingi za dstv,hawa star times wanazo. Labda ni hiyo hakimiliki ya kuonyesha world cup tu!
wezi tu hao maana walipokuwepo gtv walikosa haki ya kuonyesha ligi ya uingereza na jamaa wa gtv walionyesha kwa bei ya chini
hivi hawa jamaa wa dstv kwanini bei zao ziko juu sana...ni kodi wanayolipa au nini ? Kama ni kodi wale GTV walikuwa hawalipi kodi ? Mimi sio mpenzi wa mpira na sisemi hivi kwa sababu nimeshindwa kulipia dstv.. basi tu nimekuwa nikijiuliza kwa nini hawa ghali sana..na wanaenda na dola kila siku wanaangalia rate ya dola.. nawaonea huruma wapenzi wa mpira wanavyoteswa na hawa dstv..kila chenye mwanzo kina mwisho ..itafikia tu siku watatafuta wateja na wasiwapate kama ilivyo mabenki sasa na mpesa ,tigopesa...yaani dstv ni kampuni kubwa sio tu tz africa nzima...nadhani hata wakifanya elfu 50,000 tshs kwa kila mteja na bado itawalipa..lakini bei zao za kubagua wasionacho...
cha ajabu channel nyingi za dstv,hawa star times wanazo. Labda ni hiyo hakimiliki ya kuonyesha world cup tu!
King'amuzi 1mil?? Duuuuuuu ndio maana ufisadi hauishi tz.
Mil 10 kabisaa,nafungua biashara yngu ya maana kabisa,eti king'amuzi hehee,millan cable juu,naangalia mechi kwa rah zangu khaaa!
Unallia nini kikla. Mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake mbona hulalamiki bia maisha club inauzwa 5000 wakati kitaa ni 2500?? Kama huwezi hamia bongo muvi chanel jiunge library Mia 5 tu au hamia vibanda umiza ukishindwa kabisa uende baa sh 600 tu ya soda unaona mechi zootee