Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,633
Ndugu wanajamvi naomba mnisaidie kwa yule anayejua kwa nini dr slaa akisafiri ofisi humwachia mkurugenzi wa utawala ndugu victor kimesea lakini majukumu yote ya kiutendaji huachiwa mnyika.
swali langu la msingi kwa nini anayeachiwa ofisi asiachiwe na majukumu yote ya slaa kiutendaji au anamapungufu gani kwenye utendaji mpaka aachiwe ofisi pekee bila majukumu.
Lakini pia kwa nini dr slaa hamwachii msaidizi wake kwa maana ya naib katibu mkuu kijana aliyeaga kwao zitto kabwe au naye ananini?

Kwani mnyika siyo mbunge au yeye ni viti maalumu make unaongea kitu ambacho kianamajibu.Zitto yuko busy sana na state matters kwenye mambo ya bunge! Hivo ni mgawanyo tu wa kimajukumu ndugu na sio zaidi ya hapo!
Zitto yupo buzy kushirki na Usalama wa CCM kuuangamiza upinzani na JJ Mnyika yupo busy katika kuwakomboa waTanzania dhidi ya mafisadi na wanausalama wa CCM... Najua umepata jibu....
Ndugu wanajamvi naomba mnisaidie kwa yule anayejua kwa nini dr slaa akisafiri ofisi humwachia mkurugenzi wa utawala ndugu victor kimesea lakini majukumu yote ya kiutendaji huachiwa mnyika.
swali langu la msingi kwa nini anayeachiwa ofisi asiachiwe na majukumu yote ya slaa kiutendaji au anamapungufu gani kwenye utendaji mpaka aachiwe ofisi pekee bila majukumu.
Lakini pia kwa nini dr slaa hamwachii msaidizi wake kwa maana ya naib katibu mkuu kijana aliyeaga kwao zitto kabwe au naye ananini?
Ni kweli mkuu ndiyo maana mimi kila nikijiuliza sipati majibu yani inaingiaje akilini majukumu ya zito ayahudumu mnyika hii dharau kwa zito au kachuja katika siasa.Mantling ya Zito anafanya mnyika hii ni zarau sana kwa Zito nae hajitathmin Zito jinsi anavyozarauliwa?
Ndugu wanajamvi naomba mnisaidie kwa yule anayejua kwa nini dr slaa akisafiri ofisi humwachia mkurugenzi wa utawala ndugu victor kimesea lakini majukumu yote ya kiutendaji huachiwa mnyika.
swali langu la msingi kwa nini anayeachiwa ofisi asiachiwe na majukumu yote ya slaa kiutendaji au anamapungufu gani kwenye utendaji mpaka aachiwe ofisi pekee bila majukumu.
Lakini pia kwa nini dr slaa hamwachii msaidizi wake kwa maana ya naib katibu mkuu kijana aliyeaga kwao zitto kabwe au naye ananini?
Ahsante mkuu.Mkuu anaitwa KIMESERA na siyo KIMESEA
Ni kweli mkuu ndiyo maana mimi kila nikijiuliza sipati majibu yani inaingiaje akilini majukumu ya zito ayahudumu mnyika hii dharau kwa zito au kachuja katika siasa.