Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,237
Trump amekua akitoa hotuba ambazo zina maneno makali huku mke wake akithibitisha kuwa mumewe huyo hulala na Kitabu kilichojaa Hotuba za Adolf Hitler na wengi waliomsikiliza watakubaliana na hili ana misimamo ya akina Adolf Hitler katika karne ya 21.
Trump yupo katika Hatihati ya Kunyimwa na nafasi ya kugombea Urais Kupitia Chama cha Republican japokua amekua akivuma kwa Komedi zake Trump ambaye wazi wazi anaonesha Dharau kwa watu wasiojiweza/walemavu, mbaguzi, mdini wafuasi wengi wa Republican wanaona Wakimpa nafasi hiyi huenda wakashindwa Uchaguzi ujao na Kusababisha Democratic kushinda kwa Great margin( utofauti mkubwa).
MFANANO WA ADOLF HITLER NA DONALD TRUMP
Adolf Hitler
1. Alitumia Racism ili apate madaraka
2. Aliweka mpango wa kuwarudisha kwo wasio wajerumani (Mass deportation).
3.Aliahidi kuifanya Ujerumani kuwa taifa kubwa kwa mara nyingine
4.Alikua ni Ant-Jewish fascist
5.Aliwalaumu wayahudi kwa matatizo yalioikabili Ujerumani
6.Alifikiria wayahudi wavae Beji/Vitambulisho Maalum
Donald Trump
1.Anatumia Ubaguzi (Racism) ili apate madaraka
2. Anaandaa mpango wa kuwarudisha kwao wasio wamarekani. (deportation).
3. Anaahidi kufanya marekani iwe taifa kubwa na iheshimiwe kama zamani.
4.Huyu ni Ant-Muslims na anawachukia wazi wazi (fascist)
5. Anawalaumu Wageni/wahamiaji kwa matatizo ya wamarekani
6.Anafikiria Waislam wawe wanavaa I.D/Beji/vitambulisho maalum