Wakati mwingine huwa naisi huyu babu ni mchawi akiona damu zimemwagika ndio furaha yake au ndio anatumia kuchota ubongo pale kwenye matukio mimi dimuamini hata kidogo huyu babu looo
kupigania uhuru kwenye nchi huru kaaazi kwelikweli, kwanza hivi doctrate ya slaa ni ya nini vilee! na masters alisoma wapi vileee, hana elimu babu huyu