kwanza napenda kuwapongeza UDASA kwa kuandaa kongamano leo katika ukumbi wa Nkrumah, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam! Lengo kuu lilikua kujadili amani hapa nchini. Pili nawapongeza wote waliohudhuria ktk kongamano hilo. Miongoni mwa walio hudhuria ni katibu mkuu wa chadema Dkt. Slaa na Waziri wa Mambo ya ndani Muh. Emanuel Nchimbi. Miongoni mwa waliowasilisha mada ni Dkt. Ayoub Rioba na Prof. Killian. Dkt. Slaa alipopata wasaa wa kuchangia alionesha ukandamizaji wa vyombo vya dola kwa raia. Alimgeukia waziri Nchimbi na kumshambulia kuwa vile anasimamia polisi, hafai kuemo ukumbini. Ni heri akatoka nje. Slaa alifanya hivyo ili kuharibu amani iliyokua inaendelea. Alitaka kuishawishi hadhira ili ipoteze imani kwa Nchimbi. Slaa alilenga kuishawishi hadhira kumzomea Nchimbi pindi atakapo hutubia. Tofauti na matarajio ya Slaa, Nchimbi alishangiliwa kwa ushirikiano alioutoa kwa kuahidi kufanyia kazi changamoto na matatizo alio yasikia. Hivyo najiuliza: Je Slaa alichukizwa na uwepo wa Nchimbi? Je Slaa alitaka Ncchimbi azomewe ili apate nini? Je Slaa anapenda viongozi wa serikali wanavyo kwepa kuhudhuria midahalo na makongamano mbambali? hadhani kuwa Nchimbi anastahiki pongezi angalau kwa kuhudhuria? Namalizia kwa kuuliza: kwa kujaribu kuchafua hali ya hewa ukmbini, je Slaa kweli anapenda amani?
kwanza napenda kuwapongeza UDASA kwa kuandaa kongamano leo katika ukumbi wa Nkrumah, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam! Lengo kuu lilikua kujadili amani hapa nchini. Pili nawapongeza wote waliohudhuria ktk kongamano hilo. Miongoni mwa walio hudhuria ni katibu mkuu wa chadema Dkt. Slaa na Waziri wa Mambo ya ndani Muh. Emanuel Nchimbi. Miongoni mwa waliowasilisha mada ni Dkt. Ayoub Rioba na Prof. Killian. Dkt. Slaa alipopata wasaa wa kuchangia alionesha ukandamizaji wa vyombo vya dola kwa raia. Alimgeukia waziri Nchimbi na kumshambulia kuwa vile anasimamia polisi, hafai kuemo ukumbini. Ni heri akatoka nje. Slaa alifanya hivyo ili kuharibu amani iliyokua inaendelea. Alitaka kuishawishi hadhira ili ipoteze imani kwa Nchimbi. Slaa alilenga kuishawishi hadhira kumzomea Nchimbi pindi atakapo hutubia. Tofauti na matarajio ya Slaa, Nchimbi alishangiliwa kwa ushirikiano alioutoa kwa kuahidi kufanyia kazi changamoto na matatizo alio yasikia. Hivyo najiuliza: Je Slaa alichukizwa na uwepo wa Nchimbi? Je Slaa alitaka Ncchimbi azomewe ili apate nini? Je Slaa anapenda viongozi wa serikali wanavyo kwepa kuhudhuria midahalo na makongamano mbambali? hadhani kuwa Nchimbi anastahiki pongezi angalau kwa kuhudhuria? Namalizia kwa kuuliza: kwa kujaribu kuchafua hali ya hewa ukumbini, je Slaa kweli anapenda amani?
jifunze kusoma kitu na kukielewa. slaa hajasema nchimbi azomewe. alitumia maneno ambayo yangepelekea nchimbi kuzomewa na kutosikilizwa
Dr. Slaa tamaa ya pesa ya Josephine ndiyo inayompeleka peleka lakini alikuwa mtu mzuri kabla hajaanza kujihusisha na Josephine.
jifunze kusoma kitu na kukielewa. slaa hajasema nchimbi azomewe. alitumia maneno ambayo yangepelekea nchimbi kuzomewa na kutosikilizwa
Ina maana kumgeukia mtu ndo alikuwa anawaambia watu wamzomee?hii ni akili kuwa ndogo! WAPI ALIWAAMBIA WAMZOMEE? Tumia kichwa kufikiri!kwanza napenda kuwapongeza UDASA kwa kuandaa kongamano leo katika ukumbi wa Nkrumah, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam! Lengo kuu lilikua kujadili amani hapa nchini. Pili nawapongeza wote waliohudhuria ktk kongamano hilo. Miongoni mwa walio hudhuria ni katibu mkuu wa chadema Dkt. Slaa na Waziri wa Mambo ya ndani Muh. Emanuel Nchimbi. Miongoni mwa waliowasilisha mada ni Dkt. Ayoub Rioba na Prof. Killian. Dkt. Slaa alipopata wasaa wa kuchangia alionesha ukandamizaji wa vyombo vya dola kwa raia. Alimgeukia waziri Nchimbi na kumshambulia kuwa vile anasimamia polisi, hafai kuemo ukumbini. Ni heri akatoka nje. Slaa alifanya hivyo ili kuharibu amani iliyokua inaendelea. Alitaka kuishawishi hadhira ili ipoteze imani kwa Nchimbi. Slaa alilenga kuishawishi hadhira kumzomea Nchimbi pindi atakapo hutubia. Tofauti na matarajio ya Slaa, Nchimbi alishangiliwa kwa ushirikiano alioutoa kwa kuahidi kufanyia kazi changamoto na matatizo alio yasikia. Hivyo najiuliza: Je Slaa alichukizwa na uwepo wa Nchimbi? Je Slaa alitaka Ncchimbi azomewe ili apate nini? Je Slaa anapenda viongozi wa serikali wanavyo kwepa kuhudhuria midahalo na makongamano mbambali? hadhani kuwa Nchimbi anastahiki pongezi angalau kwa kuhudhuria? Namalizia kwa kuuliza: kwa kujaribu kuchafua hali ya hewa ukumbini, je Slaa kweli anapenda amani?