Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,728
- 7,313
Una maanisha aliepo na waliopita hawajui hizi hesabu?NIKIWA RAIS WA TANZANIA KUTAKUWA NA UWEKEZAJI MKUBWA SANA KWENYE DIFFERENCE EQUATION
Kuna sehemu nimesema hawajuiUna maanisha aliepo na waliopita hawajui hizi hesabu?
Ngoja nirudie kusoma tena Mh Rais.Kuna sehemu nimesema hawajui
dy/dx ya kutengeneza sayari from scratch mkuu hii kwa taifa hili utapoteza hela za wananchi 😁Katika moja ya hesabu ambazo zinatumika sana kwenye physics basi differential equation ni moja wapo
- Newton alitumia differential equation
- Schrodinger alitumia differential equation
- Albert Einstein naye alitumia differential equation
Hata sasa hivi tunaweza tumia differential equation kwenye mambo yafuatayo;-
- Kuderive formula ya Kupredict protein mutation
- Kuderive methods/formula ya kutengeneza Artificial ozone layer
- Kuderive methods/formula ya kuvuna waves kutoka kwenye mwezi kwa ajili ya Bluetooth
- Kuderive method ya kutengeneza mota yenye speed zaidi ya mwanga
- Kuderive methods ya kuignite in-active star kama Jupiter ili ziweze kuchoma oxygen
- Kuderive method ya kutengeneza sayari from scratch
- Kuderive method kuondoa half life kwenye nuclear waste
NIKIWA RAIS WA TANZANIA KUTAKUWA NA UWEKEZAJI MKUBWA SANA KWENYE DIFFERENCE EQUATION
Hii imekaaje hebu nielezee nifahamu..Kuderive methods/formula ya kuvuna waves kutoka kwenye mwezi kwa ajili ya Bluetooth
Tatizo lako unafikiria leo haufikirii miaka 100 ijayody/dx ya kutengeneza sayari from scratch mkuu hii kwa taifa hili utapoteza hela za wananchi 😁
sayari hiyo tutaitumiaje? itatufaidisha kitu gani mkuuTatizo lako unafikiria leo haufikirii miaka 100 ijayo
Moja ya njia ya kutengeneza utajiri ni kupitia kuwekeza kwenye technology
Utajiri unatengenezwa kwa njia nyingi siwezi kukulaumu malezi yetu yametufanya tusione mambo mengi na fursa nyingi ila utanielewasayari hiyo tutaitumiaje? itatufaidisha kitu gani mkuu
Mwezi unatoa wave ambazo zinapotential ya kutumika kama Bluetooth na kufacilitate mawasiliano across the universeHii imekaaje hebu nielezee nifahamu..
hapa unaleta siasa --- mimi nimeuliza fursa hiyo ya sayari itatunufaisha vipi mkuuUtajiri unatengenezwa kwa njia nyingi siwezi kukulaumu malezi yetu yametufanya tusione mambo mengi na fursa nyingi ila utanielewa
Kama haina faida huo ni mtizamo wakohapa unaleta siasa --- mimi nimeuliza fursa hiyo ya sayari itatunufaisha vipi mkuu
au haina faida na manufaa kwetu?
Ina maana tunaweza kutengeneza huku duniani kama transmitter ikatuma waves kwenye moon halafu yale mawimbi yaka bounce na kurudi duniani si ndivyo?Mwezi unatoa wave ambazo zinapotential ya kutumika kama Bluetooth na kufacilitate mawasiliano across the universe
NdioIna maana tunaweza kutengeneza huku duniani kama transmitter ikatuma waves kwenye moon halafu yale mawimbi yaka bounce na kurudi duniani si ndivyo?
Mambo haya mtu kama Poor Brain hawezi kuelewa
sawa nduguKama haina faida huo ni mtizamo wako