- Thread starter
- #21
Hahaha KVP mkuuUzi umejaa mahaba huu
Hahaha KVP mkuuUzi umejaa mahaba huu
Nikweli mr blue kashindwa ku-maintain mkuu? Au wewe ulikua unataka kumaanisha nini ulivyosema ku-maintainHahaha KVP mkuu
Duh ilo neno aiseeMkuu Diamond uchawi wake ni KIKI,sema Watanzania wengi hawajui hilo,namsikitia WEMA SEPETU anatumika na Diamond kibiashara bila yeye kujua,hata kufarakana na ZARI ule ni mpango wa kimkakati,sema ZARI ni mwanamke anaye jitambua hawezi kuwa mjinga kama WEMA,kwa ufupi ana tembelea nyota za watu wengine,huyo ndo DIAMOND THE PLATINUM, hata hili jina la mwisho alipewa na WEMA,
Kosa ni kutofanya analysisi ya tuhuma zako.... Kwa mtazamo wako, ili ubaki juu NI LAZIMA UWE MCHAWI... hapo ndo ulipoonyesha utoto wako na ndiyo penye kosa lakoUtoto tu... Ukikua utaacha