mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,714
Sasa hivi kila wiki anashinda mashindano ya ngono...soon atakuwa mcheza movie za XNimekuwa namfuatilia Msanii Diamond juu ya upataji wa Tuzo mbalimbali kama tulivyozoea.Ni muda sasa sijamsikia Msanii huyo kuibuka tena na Tuzo mbalimbali kama zamani je tatizo ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Point!Tukubali tu ile couple ya Mond na Zari ndo ilikuwa ina nyota Kali sana!
Mond wa kupindi cha Zari alikuwa anatisha kuanzia kwenye kuperfom mpka kwenye maisha ya kawaida!
Mond kadrop sana na sasa anazidi kupotea kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda hataki tu..Nimekuwa namfuatilia Msanii Diamond juu ya upataji wa Tuzo mbalimbali kama tulivyozoea.
Ni muda sasa sijamsikia Msanii huyo kuibuka tena na Tuzo mbalimbali kama zamani je tatizo ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wazima munaongelea mambo ya ovyoNimekuwa namfuatilia Msanii Diamond juu ya upataji wa Tuzo mbalimbali kama tulivyozoea.
Ni muda sasa sijamsikia Msanii huyo kuibuka tena na Tuzo mbalimbali kama zamani je tatizo ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndio uthubutu.Ila wabongo mko vizuri sana yaani unaongea kama vile unaishi marekani
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu umekuwa mfwatiliaji mda mrefu wa domo afu tena hujui unazingua, mfwatiliaji anakuwa mjuaji siku zoteNimekuwa namfuatilia Msanii Diamond juu ya upataji wa Tuzo mbalimbali kama tulivyozoea.
Ni muda sasa sijamsikia Msanii huyo kuibuka tena na Tuzo mbalimbali kama zamani je tatizo ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app