Some are born, others are madeNje ya mada kidogo,'are leaders born or made?' tunaweza kuanzia hapo labda.
Kuna baadhi ya watu wanasema media Ni kubwa kuliko msanii lakini me nisema bila msanii no media especially kwa zile za kiburudani,njmeongea haya kwasababu diamond anafanya vizuri pamoja na lebel yake wcb kuliko hata wasanii wengine wanaopata sapoti za media zote ukiangalia kwenye ubalozi wa bidhaa diamond ana ubalozi na Pepsi,gsm mall,turkey airways,kinywaji kile Cha ufaransa na etc.Ukiangalia hayo yote Ni makampuni makubwa kwanin kwa wasanii wanaosapotiwa na media zote km kweli media Ni kubwa kuliko msanii.Diamond Sasa hivi amefikisha subscribe 2 mil ndo msanii mwenye subscribe wengi kuliko msanii yoyote tz hao wasanii wengine wanakwama wapi? Lkn pia Hadi Sasa amekuwa confirmed kufanya show Germany, Belgiam.kenya ataperform mara mbili kwa mwk huu,anashow congo, anashow Ethiopia na itakuwa mara ya Kwanza kwa diamond kuperform hi nchi,anashow ufaransa,anashow Uganda,anashow Rwanda na hizo ni za mwaka huu tu kwanini hiz fursa haziwatokei wasanii wanaopata sapoti media zote?
Ni jitihada na kujituma km anavyofanya CR7.... Naona umetoka kuangali pages yke insta ndo umeamua kuandikkaKuna baadhi ya watu wanasema media Ni kubwa kuliko msanii lakini me nisema bila msanii no media especially kwa zile za kiburudani,njmeongea haya kwasababu diamond anafanya vizuri pamoja na lebel yake wcb kuliko hata wasanii wengine wanaopata sapoti za media zote ukiangalia kwenye ubalozi wa bidhaa diamond ana ubalozi na Pepsi,gsm mall,turkey airways,kinywaji kile Cha ufaransa na etc.Ukiangalia hayo yote Ni makampuni makubwa kwanin kwa wasanii wanaosapotiwa na media zote km kweli media Ni kubwa kuliko msanii.Diamond Sasa hivi amefikisha subscribe 2 mil ndo msanii mwenye subscribe wengi kuliko msanii yoyote tz hao wasanii wengine wanakwama wapi? Lkn pia Hadi Sasa amekuwa confirmed kufanya show Germany, Belgiam.kenya ataperform mara mbili kwa mwk huu,anashow congo, anashow Ethiopia na itakuwa mara ya Kwanza kwa diamond kuperform hi nchi,anashow ufaransa,anashow Uganda,anashow Rwanda na hizo ni za mwaka huu tu kwanini hiz fursa haziwatokei wasanii wanaopata sapoti media zote?
Huyo babu yako mbona kawatelekeza kina Tunda na wenzake...kama ni fundi basi awasaidie na tip top wawe kama wcb.Kinachomsaidia Diamond ni management nzuri, chini ya babu Tale, ukimtoa Mkubwa fela, ambaye ni taperi, aliyewazurumu, Yamoto Band.
Diamond hakufika hapo alipo, kwa bahati, kuna Kazi kubwa imefanyika tangu mwaka 2004,ni takribani Miaka 15,
Swali number mbiliSome are born, others are made
We all come from God..Swali number mbili
"Are all leaders coming from God ?"
This is a kind of questions which, if it was a calculator, it would tell"cant solve"Swali number mbili
"Are all leaders coming from God ?"
This is a kind of questions which, if it was a calculator, it would tell"cant solve"
Key point "leaders" not just everyoneWe all come from God..
Nje ya mada kidogo,'are leaders born or made?' tunaweza kuanzia hapo labda.
Wameuza sana ngada. .muziki zuga tu