Lodrick Thomas
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 1,339
- 2,432
Wabongo kwa kukariri! Kila hoja ikiletwa jibu huwa hakuna ubunifu. Really?Hakuna wabunifu hapa Tanzania ndiyo sababu kuu kila mtu anataka kutengeneza apps kwa mfumo ule ule hakuna wa kubuni tofauti.
Wabongo kwa kukariri! Kila hoja ikiletwa jibu huwa hakuna ubunifu. Really?
Ubunifu na Lugha wapi na wapi?
Una maana kitu kikiwa kinatumiwa na makampuni makubwa ndio kila mtu atumie? With that Argument, Java EE inakaa wapi hapo?Python(django, flask) inatumika na makampuni makubwa kama Quora, instagram, linkedln, Mozilla, Google(Youtube), IBM
Javascript (Node Js) inatumika na Microsoft, Mozilla
Ruby (RoR) inatumika na Twitter, bloomberg
Hayo ni maoni yake wala sio amri kumi! Ukijisikia kuyafuata ruksa lakini yanabaki kuwa maoni ya raia mmoja duniani!Mgunduzi wa Quora (ambaye pia alikua anafanya kazi facebook) katika moja ya interview zake alisema, kama Facebook ingekua inaanza miaka hii basi wasingetumia PHP!!
Ungeeleweka ungesema Kivipi ni jambo baya kutumia PHP badala ya Python au Ruby. PHP ni OO Language sawa na Python na nimetumia zote. Sijawahi kuona umuhimu wa kujifunza Django/Flask na Yii. Naona ni unnecessary redundancy. Chochote Django inafanya naweza kufanya na Yii, so sioni why it is a big deal!Kwanini basi developers wengi Tanzania wanapenda kutumia php na sio python(django, flask, tornado) au ruby (RoR)??
Sio kila kitu kinapaswa kujibiwa unavyotaka.mbona kwenye mada za tech mara nyingi mtu akiwasema nyinyi developers huwa unakuja juu bila kutoa majibu sahihi?
Hilo jibu nililotoa linakwenda kwa nani? Mtoa mada?mtoa mada kasema kuwa kweli tovuti nyingi za tanzania wabunifu wake wametumia php kwa sana na akauliza kwanini hamtumii language nyingine....
Ingekuwa vyema wewe ungejibu hizo 1,2,3....wewe ulitakiwa umjibu kuwa hatutumii hizo nyingine sababu 1,2,3.....
You think so?mna viburi ndio maana hakuna kazi ya maana mnayofanywa ikatambulika
No sijamaanisha hivyo! Huo ulikua ni mfano tu kiongozi!Una maana kitu kikiwa kinatumiwa na makampuni makubwa ndio kila mtu atumie?
Uko sahihi, lakini ni mmoja wa watu waliokua wanafanya kazi kama top technical leaders,Hayo ni maoni yake wala sio amri kumi! Ukijisikia kuyafuata ruksa lakini yanabaki kuwa maoni ya raia mmoja duniani!
Nilikua tu nataka kujua hasa kutoka kwa wazoefu kama nyie!Kusema kwa nini nchi fulani wanatumia teknolojia X na siyo Y kwa maana ya fame then lipo kila mahali na linatokana na background na ecosystem!
Nashukuru kwa hii observation yako!!Nafikiri kuna Non PHP websites Tanzania ambazo zimekua Open kufunguliwa kwa end users!
Na hizi zilishawai kuwekwa hapa!
1. TTCL website yake ni ASP.NET
2. TTCL service portal ni Java Servlet
3. Tigo Recharge Portal ASP.NET
4. Vodacom recharge portal ni JSP pia
5. TRA Motor vehicle Tax valuation ni ASP.NET
6....... n.k
hizo ni chache ambazo labda mimi nimekutana nazo na nirahisi ku deduce kutoka kwa nje!
Kwa hiyo observation unaweza ona kuwa web systems nyingi Tanzania zipo kwenye Java na C#
Sijaelewa hapo, ulikua unataka kufananisha php/python na css au?Mtuache tutumie hiyo nyie komaeni na css, c++.c,cobol na java
Kuna majibu hayana msingi!Kuna maswali hayana msingi.
Kwasababu ya maswali yasiyo na msingiKuna majibu hayana msingi!
Kwanza bado mnafundisha Pascal au mshaacha??Kwan PHP ina shida gani? Tuanzie hapo. Ni sahihi kufananisha matumizi ya scripting language kwa website kubwa kama Google, Facebook, nk, na website ndogo kama za hapa nchini?
Kwa maoni yangu, japo server side scripting languages zipo nyingi, siyo kweli kwamba kila moja inafaa kwa kila aina ya site. Mfano kulinganisha mahitaji ya language ya forum kama JF na Facebook ni sawa na kulinganisha mlima na kichuguu.
Kwa hiyo unakubaliana na mimi kwamba kuna majibu ambayo hayana msingi?Kwasababu ya maswali yasiyo na msingi