dame ni title kubwa sana inayotolewa na malkia wa uingereza kwa wanawake wenye mchango mkubwa katika fani mbalimbali. it is the opposite of "SIR". kwa hivi, mkeo akiitwa demu ni jambo la kujivunia
haijakaa sawa but nadhani inatokana na neno madam waswaz wakapick demu tu, nakuwa wanatumia kumanisha mwanamkehivi unajisikia vipi mkeo anapoitwa demu?
Ok,au mchumba wako kwa mfano,au wewe unae itwa demu na ikaitika unajua maana yake?
Kwanini usiseme "mchumba","rafiki","binti" nk?
dame-->woman or girl: a term for a woman or girl (often considered offensive)