Kwanini CRDB hutoa gawio dogo?

Ndinani

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
6,938
3,825
Benki ya CRDB ni moja kati ya benki kubwa hapa nchini. Kitu nisichoelewa kutoka benki hii ni sababu zinazoifanya benki kutangaza gawio kiduchu mara inapoatangaza ukifananisha na banki za ukubwa wake kama NMB?
Je inaweza kuwa ni sababu ya benki kuwa na expenses kubwa ambazo zikipunguzwa wanahisa wanaweza kufaidika zaidi?
 
Mwaka huu wanatoa 32Tsh tofauti na mwaka jana ilikua shilingi 22. Kama sikosei.
IMG_20220516_121135.jpg
 
Benki ya CRDB ni moja kati ya benki kubwa hapa nchini. Kitu nisichoelewa kutoka benki hii ni sababu zinazoifanya benki kutangaza gawio kiduchu mara inapoatangaza ukifananisha na banki za ukubwa wake kama NMB?
Je inaweza kuwa ni sababu ya benki kuwa na expenses kubwa ambazo zikipunguzwa wanahisa wanaweza kufaidika zaidi?
Mimi si mtaalam wa mambo ya hisa lakini ukiangalia Bei ya hisa moja ya CRDB ni Tsh. 370 wakati Bei ya hisa moja ya NMB ni Tsh. 2,920.

Hivyo Ratio ya hisa ya NMB kwa CRDB ni 2,970/370 = 7.89.

Kwa hiyo CRDB walivyotoa gawio la Tsh. 36 Ina maana kuwa Ina maana ukilinganisha na Bei ya hisa ya NMB gawio lingekuwa Tsh. 36 x 7.89 = Tsh. 284.4.

Nadhani umepata uelewa kidogo.
 
Benki ya CRDB ni moja kati ya benki kubwa hapa nchini. Kitu nisichoelewa kutoka benki hii ni sababu zinazoifanya benki kutangaza gawio kiduchu mara inapoatangaza ukifananisha na banki za ukubwa wake kama NMB?
Je inaweza kuwa ni sababu ya benki kuwa na expenses kubwa ambazo zikipunguzwa wanahisa wanaweza kufaidika zaidi?
Waulize crdb
 
Back
Top Bottom