Tabutupu ni Chadema pia usisahauNa Chadema wakaingia kichwa kichwa kuwaunga mkono mabeberu
Hakuna uwazi kuhusiana na huu ugonjwa.Maambukizi mapya hakuna,waliokufa hakuna, wanaotibiwa ni 4 oh. My God
Hahahaha!Vijana ni wengi halafu sisi tuna matatizo na magonjwa makubwa kuliko hata corona na tunaishi nayo pia nafikiri sisi ndio superior specie ya binadamu
Kuna kipindi nilienda kupima malaria nilkua najihisi kuchoka choka bas baada ya majibu nashangaa doctor kapaniki ananiuliza umekuaja na nani nikamjibu nimekuja mwenyewe kwa miguu tu akasema aisee wewe siwezi kukuruhusu uende unaweza kwenda kufa akaniandikia sindano za masaa na ya kwanza alimwambia nurse anichome pale pale
Basi akanipa kitanda nikapumzika asubuhi ya siku iliyofuata akaniruhusu na dozi ya dawa mseto.
God's Grace.Wazungu walitegemea sub sahara watu wengi sana watakufa.
Lakini cha ajabu corona haijafurukuta kabisa sub sahara.. North africa na south africa imepiga sawasawa. Lakini africa ya weusi haija pata kibali kabisa.
Je sababu ni nini
1. Aina ya maisha tunayo ishi
2. Vyakula tunavyo kula
3. Kuto kuwepo kwa wazee na wenye matatizo ya magonjwa yasiyo ambukiza.
4. Uchawi
5. Maombi
6. Hakuna data kamili
Unawezaje kuficha vifo zaidi ya 1000Kwanza sisi hatuna Interaction kama Europe kule Ulaya...pili sisi tuna hide information .
Marekani angeweza kuficha wasingeshindwa maana mpaka sasa hakuna habari ya marekani kuzika watu usiku wala kuchimba makaburi mengi kama Brazil.Corona haifichiki hata wakificha takwimu,ilivyoteketeza watu ulaya unadhani ingefanya hivo huku wangeweza kuficha takwimu?
Nahili swala tuna liweza sana Africa.Namba 6 ndiyo jibu sahihi.