Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,126
- 93,249
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa CCM imekuwa kokoro inachukua kila aina ya uchafu, watu wote wa hovyo na waovu nchi hii wamekimbilia CCM ili kupata kinga ya maovu yao.Fikiria Mwijaku, alovujisha picha za ngono akimuingilia yule dada kinyume na maumbile, Hadi Leo Dada hayuko Kwa Raman, Mwijaku akaonekana Shujaa machon pa CCM Leo ndo anaongoza kusifiaaaa .
Fikiria Baba levo, huyu vituko vyake tangu akiwa Diwani Hadi Leo ,ni vingi ,naye kaamua Kumsifiaa na kudai anamtangaza.
Steve Nyerere, wakuitwa Usalama ( unajiuliza ndo tumefika ) maarufu kama kuwadi ,huyu naye visaa vyake ninvya kushanta.
N.k
Yaan Kwann Usifiwe na kundi hili hili la watu na wewe ubaki unacheka Cheka?.
Hapa mwenye tatizo ni nani?.
Wasanii wao kutwa kuselebuka na mashogaFikiria Mwijaku, alovujisha picha za ngono akimuingilia yule dada kinyume na maumbile, Hadi Leo Dada hayuko Kwa Raman, Mwijaku akaonekana Shujaa machon pa CCM Leo ndo anaongoza kusifiaaaa .
Fikiria Baba levo, huyu vituko vyake tangu akiwa Diwani Hadi Leo ,ni vingi ,naye kaamua Kumsifiaa na kudai anamtangaza.
Steve Nyerere, wakuitwa Usalama ( unajiuliza ndo tumefika ) maarufu kama kuwadi ,huyu naye visaa vyake ninvya kushanta.
N.k
Yaan Kwann Usifiwe na kundi hili hili la watu na wewe ubaki unacheka Cheka?.
Hapa mwenye tatizo ni nani?.
Labda kampasua,maana boss wake ana ukaribu sana na mchkUsisahau pia kuwa BabaLevo alitaka kumzalia Chibu Dangote.
View attachment 3236321
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
HahaFikiria Mwijaku, alovujisha picha za ngono akimuingilia yule dada kinyume na maumbile, Hadi Leo Dada hayuko Kwa Raman, Mwijaku akaonekana Shujaa machon pa CCM Leo ndo anaongoza kusifiaaaa .
Fikiria Baba levo, huyu vituko vyake tangu akiwa Diwani Hadi Leo ,ni vingi ,naye kaamua Kumsifiaa na kudai anamtangaza.
Steve Nyerere, wakuitwa Usalama ( unajiuliza ndo tumefika ) maarufu kama kuwadi ,huyu naye visaa vyake ninvya kushanta.
N.k
Yaan Kwann Usifiwe na kundi hili hili la watu na wewe ubaki unacheka Cheka?.
Hapa mwenye tatizo ni nani?.
😂😂😂😂Jina la chura limeleta vyura wengi sasa maana wanapiga kelele kusifia mama
Ndipo mnapofeli. Hao unaowaita chawa CCM ndo mtaji wao na ndio wengi na ndio wenye ushawishi kwa wajinga walio wengi. Sasa nyie endeleeni kuwadharau kwa kudhani kuna kura huku jfHivi wakuu, Kati ya Machawa na Anayepigiwa uchawa ni nani mwenye tatizo?.
Ni Nani Kati ya wawili hao anatakiwa kujishtukia??.
Jamaa wanamdhalilisha sana
Hii 🖕ndiyo comment ya chawa wenyewe sasa.Ndipo mnapofeli. Hao unaowaita chawa CCM ndo mtaji wao na ndio wengi na ndio wenye ushawishi kwa wajinga walio wengi. Sasa nyie endeleeni kuwadharau kwa kudhani kuna kura huku jf
Hii 🖕ndiyo comment ya chawa wenyewe sasa
Ila msisahau hao chawa ndo wapiga kura wenyewe na ujinga wao hivyo hivyo.Hii 🖕ndiyo comment ya chawa wenyewe sasa.
Chawa hawanaga mda wa kupiga kurai
Ila msisahau hao chawa ndo wapiga kura wenyewe na ujinga wao hivyo hivyo.