Hadi sasa sijaelewa kwanini hiki chama kina unafiki kiasi hiki!
Kwanza ndio walikuwa vinara ktk hatua za mwisho wa kutaka katiba mpya! Shida kubwa ktk katiba ni kukerwa kwa wanasiasa wa CDM juu ya mamlaka makubwa ya uteuzi aliyonayo raisi wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Leo maamuzi makubwa kama hayo yanasubiriwa yatolewe na Mbowe!... Wako wapi wanaharakati?
Chadema wanataka vikao vya bunge viwe na live coverage, lkn vikao vyao haviwi hewani!! Iko wapi justice?
Mbowe anakemea rushwa, lkn katibu wake Mkuu alidiriki kusema kuwa wote walinunuliwa!
Mbowe na chadema waache kuhubiri wasiyoyaweza!
Siasa sio uongo!