Kwanini CHADEMA mnatutenga Ileje?

Kwanini CHADEMA mnatutenga Ileje?

Mbuzimtu

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2013
Posts
355
Reaction score
178
Jamani kila siku tunasikia mkutano wa CHADEMA kila kona ya nchi. Mbona sioni mikutano kama hiyo jimbo ya Ileje?.

Nipo hapa Isongole watu tunazidi kutamani kuwaona viongozi wa kitaifa wakihutubia mikutano ya hadhara.

Tunaomba msitusahau katika ukombozi wa taifa letu na sisi ni watanzania kama Tunduma walivyo.

Kwa ujumbe huu naomba mtukumbuke kwa ziara.
 
Majibu ya serikali za mitaa yalikupa picha kuwa haujatengwa,,mfumo sasa ivi unasimamiwa na viongozi wa kanda,cheki matokeo kuanzia Ikumbilo mpaka HQ ya wilaya
 
Yupo Daniely Hapo Na Mbugh, Hao Ni Viongozi, Na Wanaendesha Mikutano Mwanzo Mwisho, Lakini Pia Msijali Mwaka Huu Hatuachi Kipolo, Tutagusa Kila Pande Ya Nchi.
 
Kamanda MBUZIMTU husife moyo timu mzima ipo makini na tuna amini kila sehemu ya hii tanzania lazima makamanda watafika ila nawe hapo ulipo hakikisha unawahamasisha vijana kwa wazee wajiunge na cdm hasa kina mama pia kwani vita ya ukombozi ndio sasa.
 
Jamani kila siku tunasikia mkutano wa CHADEMA kila kona ya nchi. Mbona sioni mikutano kama hiyo jimbo ya Ileje?.

Nipo hapa Isongole watu tunazidi kutamani kuwaona viongozi wa kitaifa wakihutubia mikutano ya hadhara.

Tunaomba msitusahau katika ukombozi wa taifa letu na sisi ni watanzania kama Tunduma walivyo.

Kwa ujumbe huu naomba mtukumbuke kwa ziara.

Usijari kaka jiandae kupokea uzalendo toka ACT Chama cha wazalendo.
 
naomba tuheshimiane!!!!!. Ileje hatudanganyiki!!!!!.
act nendeni malawi

Mi mwenyewe mwana ileje kaka kwetu bupigu tusigombane kwa ajili ya vyama tuijenge ileje yetu.
 
Huwezi kuwa na akili timamu tena unayetoka wilaya maskini, watu maskini kichwani mpaka kimaisha alafu ukachekelea jitihada za kurudisha nyuma ukombozi wa Watanzania. Ninawasiwasi na siamini kama wewe ni mwanaIleje wa kweli. Aidha utakuwa unakaa vyawa au Tunduma hivyo hujui taabu ya wanaIleje.

Watu wengine mnakera hata shetani anaweza kupendwa lakini siyo watu kama nyinyi!. Samahani kama nimetumia lugha kali but trust me!. We siyo wa Ileje kwa 100%.

Hatuwezi kujenga Ileje kwa kusaliti ukombozi. Hivi wewe hujifunzi tu!!!!. Shit!!!!.
 
mkuu Standalone hebu fikisha huu ujumbe moja kwa moja kwa Mwenyekiti au katibu mkuu , hiki kilio cha watu wa ileje ni cha muda mrefu sana , hatuwezi kuendelea kuvumilia , unajua bhana kuna maeneo mengine kama ileje majani yamekwisha kauka yanahitaji kiberiti tu ili kuwasha moto .
 
Huwezi kuwa na akili timamu tena unayetoka wilaya maskini, watu maskini kichwani mpaka kimaisha alafu ukachekelea jitihada za kurudisha nyuma ukombozi wa Watanzania. Ninawasiwasi na siamini kama wewe ni mwanaIleje wa kweli. Aidha utakuwa unakaa vyawa au Tunduma hivyo hujui taabu ya wanaIleje.

Watu wengine mnakera hata shetani anaweza kupendwa lakini siyo watu kama nyinyi!. Samahani kama nimetumia lugha kali but trust me!. We siyo wa Ileje kwa 100%.

Hatuwezi kujenga Ileje kwa kusaliti ukombozi. Hivi wewe hujifunzi tu!!!!. Shit!!!!.

Hivi kwa akili yako ukombozi upo CDM tu? Hujajua bado shindembwa!
 
Mi mwenyewe mwana ileje kaka kwetu bupigu tusigombane kwa ajili ya vyama tuijenge ileje yetu.

hapa tunazungumzia cdm na ileje baaasi , usituchanganyie habari tafadhari , tunataka kuikomboa ileje kutoka mikononi mwa magamba , tumechoshwa na dhiki ya tangu uhuru ya wana ileje kutibiwa kwa huruma nchini malawi , naomba kuchukua nafasi hii KUISHUKURU SERIKALI YA MALAWI KWA KUCHUKUA JUKUMU LISILOWAHUSU LA KUWATIBU WATANZANIA .
 
Hivi kwa akili yako ukombozi upo CDM tu? Hujajua bado shindembwa!
inafahamika kwamba Tanzania kuna njaa ; ni kweli na mimi nakubali , LAKINI NJAA YAKO NI KALI KUSHINDA ZOTE !
 
Hivi kwa akili yako ukombozi upo CDM tu? Hujajua bado shindembwa!
Kwa hiyo ukombozi utapatikana kwa sapoti ya CCM?. Kama ndivyo, basi utakuwa kweli unatoka Ileje.

Pole Mbuzimtu, maana kila siku unawaelimisha watu wajitambue lakini bado wako palepale.
 
Huwezi kuwa na akili timamu tena unayetoka wilaya maskini, watu maskini kichwani mpaka kimaisha alafu ukachekelea jitihada za kurudisha nyuma ukombozi wa Watanzania. Ninawasiwasi na siamini kama wewe ni mwanaIleje wa kweli. Aidha utakuwa unakaa vyawa au Tunduma hivyo hujui taabu ya wanaIleje.

Watu wengine mnakera hata shetani anaweza kupendwa lakini siyo watu kama nyinyi!. Samahani kama nimetumia lugha kali but trust me!. We siyo wa Ileje kwa 100%.

Hatuwezi kujenga Ileje kwa kusaliti ukombozi. Hivi wewe hujifunzi tu!!!!. Shit!!!!.
ni mara chache sana kuona post ya kikakamavu na kikamanda kama hii , safi sana mkuu .
 
Ni jambo la kusikitisha na kustajabisha watu wanapigwa na adui yao, badala ya kuunganisha nguvu zao baadhi yao wanaunganisha nguvu na adui ili kupigana na adui. Naomba sana hili lisijitokeze Ileje.
 
Back
Top Bottom