Kwanini CHADEMA hawaongelei fedha za escrow?

na hili suala limesimamiwa kidete na hao wabunge mnaowaita wa mahakama Kafulila na Zitto sasa sijui hao wabunge wenu wa halali wako wapi

Bingwa ukiona hivo ujue halali washagundua kuwa viongoz wao wa juu wanahusika na kesi hii
 
Mbowe na Slaa waliingiziwa pesa nyingi sana za escrow na kalasinga wa PAP.
 
Hapo ndio ninapoikubali CHADEMA. Yaani bila mbunge au kiongozi wale chadema kuongelea kwa uzito kashfa yoyote, mwanangu akiwemo mtoa thread hajisikii kwamba kashfa imeongelewa. Mnaikataa mdomoni ila mnaikubali kimoyomoyo

Kabisa mkuu
 
Akili yako inafanana na ya TBC,UHURU NA MZALENDO.
 

Attachments

  • Rat.jpg
    9.9 KB · Views: 375
Duh ccm ni ugonjwa wa ubongo,eti hii nayo imeonekana mada!mnatafuta sehemu ya kupumulia shwain!
 
Mbowe na Slaa waliingiziwa pesa nyingi sana za escrow na kalasinga wa PAP.

Familia ya Kikwete inamiliki hisa 50% za PAP.Hivyo imevuta billion 100 kutoka akaunti ya escrow na itakuwa inalipwa milion 200 @ day
 
Mtoa mada atakuwa siyo mtu wakufuatilia mambo,hayo na madudu mengi yamesemwa sana na chadema,labda angeuliza kwa nini zito hakuongelea na wala haongelei swala la katiba ambalo kila mtanzania analipigia kelele na yeye yupo kinyume na wapinzani hata pale inapomlazimu kuongea??
 
Mtoa mada uwe pia unaangalia tarifa za hbr kuna Star tv,Itv,Capital,Clouds,etc TBC usiangalie coz kule utakutana na hbr za kuzima mwenge tuu kisha uje kuuliza maswali.
 
Mbowe na Slaa waliingiziwa pesa nyingi sana za escrow na kalasinga wa PAP.

kwahiyo,huu wizi upo kweli!?
na kama hao wamehusika,mbona mmekalia ripoti,na porojo kibao!?mara ooh fedha siyo za umma,mara ooh hakuna wizi!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…