Toka kuibuliwa kwa hoja ya escrow nimeshangazwa mno na ukimya wa makamanda wa chama chetu CHADEMA kulizungumzia na kulisimamia kidete suala la fedha za escrow?,kama tunavyofanyaga kwenye kashfa nyingine za ufisadi,kama EPA na Richmond,na kilichoniumiza zaidi ni kitendo cha mwenyekiti kuacha suala lililoko mezani yani escrow na kuibua mjadala wa gesi, Je chadema hautaki mjadala huu kwa vile umeibuliwa na msaliti wa chadema?,au ni kweli kuna ukweli kuhusu tuhuma za kambi inayomsapoti zitto kuwa baadhi ya viongozi wakuu upinzani wamo kwenye payroll ya Escrow (ingawa tuhuma hii imekaa kisiasa)..karibuni tujadili wakuu.
Kaka suala la escrow linahitaji shule kuweza kuliongelea hivi unajua kuna wabunge wengi tu hawajui maana ya hiyo escrow acnt kwa hili sugu hana uwezo wa kulisemea albda alalamike juu juu bila fact
nataka kuamini kuwa wanataja ili kufifisha nguvu,wametajwa wenye nchi sembuse wapinzani.tajeni basi tuoneTaarifa hizo,hazina ukweli kuhusu CDM ila yupo nimeona Benki statement za Mkombozi ....
ACHENI UNAFIKI HAYA NI MANENO HAPA CHINI NI YA DR SLAA TENA MWEZI JULY 2014 .....LISSU NAE KAONGEA MARA NYINGI TU .....
ESCROW:
-Katibu Mkuu huku Akiwa na Nyaraka kadhaa anasema:Nina barua ya AG wakati wa kuhamisha Hela.Barua inasema "This letter is instructive).Barua nyingi zimeandikwa na pia IPTL imeandika tarehe 5.9.2013 kuwa hela zisitolewe bado kuna utata
-Hadi sasa tunashangaa mtu anaenda kufungua kesi kwa jambo lililoko Bungeni.Ibara ya 100 ya katiba inakataza.PAP anapoenda kumshtaki Kafulila inashangaza
- Katibu Mkuu: Nina Bank statement Business Banking a/c no 9010000125294. Tarehe 29.11.2013 hela imekua transfered zaidi Bilioni 8 kwa mara ya kwanza. Hii ni akaunti iliyofunguliwa kwa ajili yake tu. Tarehe 4.12.2013 Checkbook ilitolewa kwa mara ya kwanza. Kampuni kubwa kama hiyo haina check book. Tarehe check namba 524 ilutumika kutoa milioni 15.
- Kukawa na mtindo baada ya hapo wa kuingiza hela na kutoa
- 31.3.2014 hela ya mwisho ilitolewa kwa ajili management Fee zaidi ya milioni 50. Sasa balance tuliyonayo ni standing balance ya 1.1.2014
- Transaction zilizofanyika pia kuna udanganyifu mkubwa wa malipo ya kodi
- Sasa Serikali itoke na Tamko.Pesa zilizochukuliwa zote ni bilioni 400 ingawa kwenye mlolongo wa trabsaction inaonekana kuna transaction ya Bilioni 188 kwenye akaunti hii
-Katibu Mkuu: Hatuwezi pia kupeleka au kutegemea msaada wa PCCB na ofisi yake maana kazi yake siku zote anailinda serikali
-Katibu Mkuu: Kuna utata jinsi PAP alivyoingia nchini. Hatuibembelezi serikali. Tunamtaka Kikwete atoke hadharani. Aitishe vyombo vyake. Tunataka international audit ifanyike. Na tunataka Jumuiya ya Kimataifa ituunge Mkono kama walivyotuunga kwenye swala la EPA.
Christopher H. Bomola, ulisikiliza hotuba ya Wenje na Mbilinyi bungeni?Kama ni hivyo,tupo pamoja kamanda
Toka kuibuliwa kwa hoja ya escrow nimeshangazwa mno na ukimya wa makamanda wa chama chetu CHADEMA kulizungumzia na kulisimamia kidete suala la fedha za escrow?,kama tunavyofanyaga kwenye kashfa nyingine za ufisadi,kama EPA na Richmond,na kilichoniumiza zaidi ni kitendo cha mwenyekiti kuacha suala lililoko mezani yani escrow na kuibua mjadala wa gesi, Je chadema hautaki mjadala huu kwa vile umeibuliwa na msaliti wa chadema?,au ni kweli kuna ukweli kuhusu tuhuma za kambi inayomsapoti zitto kuwa baadhi ya viongozi wakuu upinzani wamo kwenye payroll ya Escrow (ingawa tuhuma hii imekaa kisiasa)..karibuni tujadili wakuu.
Toka kuibuliwa kwa hoja ya escrow nimeshangazwa mno na ukimya wa makamanda wa chama chetu CHADEMA kulizungumzia na kulisimamia kidete suala la fedha za escrow?,kama tunavyofanyaga kwenye kashfa nyingine za ufisadi,kama EPA na Richmond,na kilichoniumiza zaidi ni kitendo cha mwenyekiti kuacha suala lililoko mezani yani escrow na kuibua mjadala wa gesi, Je chadema hautaki mjadala huu kwa vile umeibuliwa na msaliti wa chadema?,au ni kweli kuna ukweli kuhusu tuhuma za kambi inayomsapoti zitto kuwa baadhi ya viongozi wakuu upinzani wamo kwenye payroll ya Escrow (ingawa tuhuma hii imekaa kisiasa)..karibuni tujadili wakuu.
na hili suala limesimamiwa kidete na hao wabunge mnaowaita wa mahakama Kafulila na Zitto sasa sijui hao wabunge wenu wa halali wako wapi
Mimi wala si mwanasiasa, sina kadi ya chama chochote ila naipenda UKAWA, una lingine...?
Zitto ; kikwazo
Fuatilia bunge mkuu utaona.
Toka kuibuliwa kwa hoja ya escrow nimeshangazwa mno na ukimya wa makamanda wa chama chetu CHADEMA kulizungumzia na kulisimamia kidete suala la fedha za escrow?,kama tunavyofanyaga kwenye kashfa nyingine za ufisadi,kama EPA na Richmond,na kilichoniumiza zaidi ni kitendo cha mwenyekiti kuacha suala lililoko mezani yani escrow na kuibua mjadala wa gesi, Je chadema hautaki mjadala huu kwa vile umeibuliwa na msaliti wa chadema?,au ni kweli kuna ukweli kuhusu tuhuma za kambi inayomsapoti zitto kuwa baadhi ya viongozi wakuu upinzani wamo kwenye payroll ya Escrow (ingawa tuhuma hii imekaa kisiasa)..karibuni tujadili wakuu.
OK ,umesha sikia KINANA NA NAPE wakiliongelea hili suala kwenye miutano yao? ,