Christopher H.Bomola
Member
- Nov 10, 2014
- 48
- 19
Taarifa hizo,hazina ukweli kuhusu CDM ila yupo nimeona Benki statement za Mkombozi ....Kuna viongozi wawili wa upinzani walidbukiziwa fungu la mipesa kupitia mkomboZi bank. Ni kina nani? Tutajua tu!!
Toka kuibuliwa kwa hoja ya escrow nimeshangazwa mno na ukimya wa makamanda wa chama chetu CHADEMA kulizungumzia na kulisimamia kidete suala la fedha za escrow?,kama tunavyofanyaga kwenye kashfa nyingine za ufisadi,kama EPA na Richmond,na kilichoniumiza zaidi ni kitendo cha mwenyekiti kuacha suala lililoko mezani yani escrow na kuibua mjadala wa gesi, Je chadema hautaki mjadala huu kwa vile umeibuliwa na msaliti wa chadema?,au ni kweli kuna ukweli kuhusu tuhuma za kambi inayomsapoti zitto kuwa baadhi ya viongozi wakuu upinzani wamo kwenye payroll ya Escrow (ingawa tuhuma hii imekaa kisiasa)..karibuni tujadili wakuu.
we ndo umeongea kitu nilichokua nacho kichwan..big up mkuuItaonekana wanamuunga ZITTO mkono, ni Kheri kwao bil. 200 zisirudi lakini si kumuunga mkono Zitto
we ndo umeongea kitu nilichokua nacho kichwan..pig up mkuu
...tunaswaga kote kote,sasa 1trilion!
Itaonekana wanamuunga ZITTO mkono, ni Kheri kwao bil. 200 zisirudi lakini si kumuunga mkono Zitto
Hiv ziliibuliwa na kafulila au gazeti la SITIZEN
Una uhakika? Jana tu sugu kaongelea. Jitahidi kutazama TV.
Akiongea kiongozi yeyote wa upinzani walioko chini ya UKAWA ni sawa na CHADEMA.
Una uhakika? Jana tu sugu kaongelea. Jitahidi kutazama TV.