Umechambua vizuri ILA una kitu nyuma ya uchambuzi wako!Nchi za KIARABU ZILITUDHALILISHA SANA WAKATI WA BIASHARA YA UTUMWA! Ukikumbuka hilo utaenda mbele ukiwa macho wazi!Kwani mbona Tanzania haina UBALOZI Israel?N i kwa sababu CCM wana-mahusiano na nchi za Kiarabu?! TUACHE UPUUZI!
Nakubaliana na wewe kabisa. Eneo alilokaa mwarabu hapa nchini lazima liwe maskini. Sijui ni kwa nini!!!!Maeneo yote walikowahii kaa waraabu kuna umaskini wakutisha, na watu wake wako duni sana kielimu!
Kwanini CHADEMA haina marafiki na nchi za kiarabu?
Rafiki wa CHADEMA kwa sasa ni;-
Ujerumani: wapenda Vita na kuitawala dunia
Marekani: Wababaishaji wa Demokrasia
WAZUNGU KWA UJUMLA NDIO WALIOFILISI TANZANIA HADI KUFIKIA UMASKINI HUU.
Wazungu kwa ujumla ndio waliofilisi Tanzania hadi kufikia umaskini huu,ndio wanaoiba rasilimali zetu kama Gesi na dhahabu na kutuachia mashimo.
Kwani kuna msemaji wa Chadema hapa? au umeambiwa ofisi za Chadema ziko JF?
Bangi nyingine hizi jamani
tatizo lako umekariri vby. tunajua unachotaka kutuaminisha lakin kwa taarifa yako kuna waarabu WAKRISTO. usichanganye uarabu na uislamu boya ww.. kuna uislamu kama dini na uarabu kama lugha tu.
hivi sabodo ni mchina??
dar je?Nakubaliana na wewe kabisa. Eneo alilokaa mwarabu hapa nchini lazima liwe maskini. Sijui ni kwa nini!!!!