chadema ndo Mazuzu kwa kuwa na kiongozi mmoja tu anayetegemewa. CCM ni ya wengi any can lead but not Chadema.
chadema ndo Mazuzu kwa kuwa na kiongozi mmoja tu anayetegemewa. CCM ni ya wengi any can lead but not Chadema.
Heeeh! Hata wewe umeelimika na una uwezo wa kufikiri na kupembua mada! Tena hauko kichama zaidi?
Well i dont think so, labda kimatusi zaidi...
kama jamii forum ni ya chadema ccm mnakuja kutafuta nini humo? Hii ni dhahiri kuwa na ninyi mmeipenda chadema, chadema oyeeeeeee ! Mnakuwa kama vibinti nataka sitaki mkiambiwa na nyie chadema mnakataa.
we kiazi kweli yaani unamfananisha mtu mmoja na kundi la vilaza na mazuzu waliopo ccm unakanyagwa wewe.ipi bora kuwa na mtu mmoja makini au kuwa na kundi la viazi kama wewe!!!11
Mkuu, wewe ni Chadema? Kama sio, sasa unafanya nini humu?JF ni ya Chadema. Ofisi zao ziko Ilala Dar. Box 4203. Simu 0713444649.
zuzu:sleepy: zzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz umesoma kweli wewe? au ulienda shule kukrem
Kichwa cha somo na unachokieleza ni tofa na uti!!!!!!!!!! au unammanishanini?Channel ten wametangaza katika taarifa ya habari asubuhi hii.
Mkuu wa mkoa wa Mara amemkamata diwani wa Chadema katika kata moja wilayani Serengeti akiwa anamiliki bunduki AK47 kinyume na sheria. Alikiri kwamba yeye na ndugu zake wamekuwa wakimiliki
Alichukuliwa kutoka kikao cha madiwani akahojiwa na kukiri. Kisha akawapeleka kwenda kuwaonesha mahali alipoifukia
chadema ndo Mazuzu kwa kuwa na kiongozi mmoja tu anayetegemewa. CCM ni ya wengi any can lead but not Chadema.
chadema ndo Mazuzu kwa kuwa na kiongozi mmoja tu anayetegemewa. CCM ni ya wengi any can lead but not Chadema.
Tangu mwanzo nguvu ya CCM na serikali yake zimejengwa katika misingi ya matambiko ya ushirikina-yaani ushirika na mashetani au majini miongoni mwake yale ya sheikh mtabiri wa mwembechai magomeni; hiki ndicho chanzo cha uzuzu ambao sasa baada ya mradi wa Loliondo kufulia basi siri za uzuzu zimeanza kutoka hadharani; shetani siku zote ni adui ambaye kazi yake ni kuua!!!!!!!!!!!!!!!!Katika utafiti wangu nimekuja kuona ccm wanachama wengi wa ccm na viongozi wao wapo kimaslahi yao na hawana jipya la kufanya kimaendeleo.
Karibia wote ni vilaza wanaopewa nafasi kubwa serikalini ndio maana wanasababisha matatizo makubwa kama ufisadi, na maisha magumu yanayowakabili wananchi wengi kwa sasa.
Wamekuwa wakikimbilia cheap popularity kwa watu wasio na uelewa wa mambo yanavoenda mbona hawawezi kutoa tathmini ya mandeleo wanayoyafanya mbele ya watu wanao fatilia na wasomi kwa ujumla.
Mimi binafsi naona ni ukomo wao maana zama zao zilikuwa za kuongoza watu walio gizani. Kama sasa wanalalamika wanavyuo kuwazomea je walipozomewa na wananchi wa ubungo wakati wametoka sijui kutoa magamba yao wale walikuwa ni wanachuo????
Ccm mmekwisha hakuna mnalolifanya kwa sasa zaidi ya kutuletea matatizo kila siku. Mnaposema jamii forums inawachafua kwani inaandika uwongo???
Chadema wanapowapinga wanakosea????
Kwa kweli nyie sio siri ni mabogas mlio pitiliza