Kunywa Spaletta baridi hapo kwa mangi, nitalipa. Huo ndiyo ukweli mchungu ninaousema kila siku humu.
Tunataka Katiba mpya lakini si kwa kuongozwa na CHADEMA ambayo haina haiba ya kupokezana madaraka, demokrasia na Katiba inayoeleweka
1- Mtei kumrithisha Mbowe, mkwewe uenyekiti mpaka leo.Napenda nijue kwanza hao CCM kwanini wanakiita Chadema SACCOS, halafu tuangalie kama kweli hoja zao zina msingi, mimi binafsi huwa nawaona wanaimba tu mapambio yao waliyokaririshwa yasiyo na maana.
Siamini kama chama cha siasa tena zaidi CDM kikiwa na sifa ya kuwa SACCOS kitaachwa kiendelee kuwepo na msajili wa vyama waliyempa kila aina ya sheria za kuwashughulikia Chadema.
Chadema ilijikita katika kuwasikiliza watu wachache sana,, wengi wamekuwa ni wapiga kelele tu ambao hawana makali yoyote...(saccos kwa sababu mwenyekiti ndio amekuwa chama,,kama hivi yupo cello mambo kibao yamesimama)
Viongozi pia wenye misimamo ni wachache,, wengi ni mileage tu za kisiasa,, sisiemu wakifika bei wananunulika.
Wananchi nasi bado tumekuwa waoga kabisaa,, tunasubiri tu kuwazika mashujaa,,hakuna anayetaka kuwa front..
Ukombozi utachukua miongo mingi sana kufanikiwa....
Watanzania tu wasahaulifu sana. Tumeshasahau yaliyotokea kwenye rasimu ya Warioba? Nani ataipitisha hiyo katiba mpya? Unadhani wanao faidika na katiba ya sasa ambao ndiyo watoa maamuzi watakubali kupitisha katiba itakayo wanyang'anya keki mdomoni? Thubutuuu! La sivyo, walete rasimu ya Warioba, yenye matakwa ya watanzania kama ilivyokuwa, bila kuchakachuliwa, tuipigie kura mahali pa wazi na kura zihesabiwe papo kwa papo mbele ya wapiga kura. Kinyume chake itakuwa usanii mtu.Katiba mpya ya nchi ndiyo hitaji la msingi zaidi:
Wewe ni mgeni na Mimi. Umenijua ninanapomkosoa Mbowe na Lissu. Tafuta posts zangu za last 5 years uone moto wangu kuhusu demokrasia, utawala bora na Katiba NZURINi jambo la kheri kuwa hata wewe kumbe unataka katiba mpya.
Ni ukweli wa wazi kuwa hakuna aliye na akili asiyeona umuhimu wa katiba mpya dhidi ya iliyopo iliyoandikwa na wazee wachache wa CCM 1977.
Bahati mbaya kwako hujui kwa nini unataka katiba mpya, ambao huo ni ugonjwa usiokuwa na dawa.
Tunajipanga na tunakuja. Utake usitake Chadema itatufikisha kunako katiba tunayoitaka, katiba ya wananchi.
Hiyo ndiyo habari yenyewe.
Wananchi wanaingiaje front kuwapa ugali watu ambao nao wamejificha wanaogopa kuumia?Chadema ilijikita katika kuwasikiliza watu wachache sana,, wengi wamekuwa ni wapiga kelele tu ambao hawana makali yoyote...(saccos kwa sababu mwenyekiti ndio amekuwa chama,,kama hivi yupo cello mambo kibao yamesimama)
Viongozi pia wenye misimamo ni wachache,, wengi ni mileage tu za kisiasa,, sisiemu wakifika bei wananunulika.
Wananchi nasi bado tumekuwa waoga kabisaa,, tunasubiri tu kuwazika mashujaa,,hakuna anayetaka kuwa front..
Ukombozi utachukua miongo mingi sana kufanikiwa....
Kwao tu hakuna demokrasia ila eti wanapambania demokrasia ya nchi.Katiba Mpya, Uongozi wa Kitasisi na Demokrasia ya kweli inapaswa kuanzia ndani ya CDM kabla ya kuhangaika na nchi.
Ndio maana pamoja na ubovu wa CCM, bado CDM hawatachukua hii nchi anytime soon. CCM is worse, CDM is worst.Kwao tu hakuna demokrasia ila eti wanapambania demokrasia ya nchi.
Ila CDM wana mzaha sana🤣.
Halafu eti ndio chama kitakachotukomboa!
Hakiwezi kutukoboa unless kimebadilika kwanza.
Mbowe ameshasema ataachia uenyekiti 2023.Shida CHADEMA inaongozwa zaidi na mtu binafsi badala ya taasisi.
Laiti ingekuwa ni taasisi hata in absence ya Mbowe na Lissu bado chama kingeongoza harakati ya kudai katiba mpya kwa ari ileile.
Na ndio maana Mbowe hataki kuachia Uenyekiti, maana the moment anaachia uongozi... That will mark the beginning of the end for CHADEMA.
Hurting truth.
Kwahiyo mazingira ya siasa ndiyo yaliyosababisha huko CDM kuwe na mwenyekiti mmoja miaka nenda miaka rudi?Mbowe ameshasema ataachia uenyekiti 2023.
Naona wengi mnashindwa kutazama mazingira ya kisiasa yanayowakumba Chadema jinsi walivyowekewa vikwazo na polisi na serikali ya CCM kupitia kwa msajili.
Chadema kwa sasa ni sawa na wamefungwa kamba, wanatakiwa kujua ni namna gani wazifungue hizo kamba bravely bila kusababisha vurugu na jeshi la polisi na msajili.
Kwangu kinachoendelea sasa ni mpambano wa kifikra ndani yao watoke vipi, na sio udhaifu wa kukosa watu. Laiti mazingira ya kisiasa yangekuwa huru kwa wote halafu Chadema waonekane kulega lega, hapo ndipo ningejiunga na hii story ya Chadema ni SACCOS, but as for now, NO.
Kwahiyo mazingira ya siasa ndiyo yaliyosababisha huko CDM kuwe na mwenyekiti mmoja miaka nenda miaka rudi?
Ndio maana pamoja na ubovu wa CCM, bado CDM hawatachukua hii nchi anytime soon. CCM is worse, CDM is worst.
Wewe ni mgeni na Mimi. Umenijua ninanapomkosoa Mbowe na Lissu. Tafuta posts zangu za last 5 years uone moto wangu kuhusu demokrasia, utawala bora na Katiba NZURI
Ajabu zaidi ni kwamba hao CDM wenzako nyuzi za maana kama hizi hawanusishi pua zao,,,ila wapo kupambana kushangilia nyuzi za Job kujibizana na Rais..majibizano ambayo hayana mchango wowote kwa chama.
Kwani taasisi huwa inadondoka kutoka mbinguni. Hata ccm ilianza hivihivi na ina miaka 60 lakini bado ni ya vikudi vinavyonyukana. Bora chadema hakuna makundi kabisaShida CHADEMA inaongozwa zaidi na mtu binafsi badala ya taasisi.
Laiti ingekuwa ni taasisi hata in absence ya Mbowe na Lissu bado chama kingeongoza harakati ya kudai katiba mpya kwa ari ileile.
Na ndio maana Mbowe hataki kuachia Uenyekiti, maana the moment anaachia uongozi... That will mark the beginning of the end for CHADEMA.
Hurting truth.
Tunaongelea Mbowe kwa sababu mada inahudu chadema.Ila Mbowe atakuwa mwiba mkubwa sana CCM. Ni katika kujua hilo ndiyo sababu CDM wamependa kuendelea naye muda wote.
Kelele hizi mno hazisikiki TLP, NCCR, CUF wala kwenye vyama vingine? Kwani Mrema, Mbatia, Lipumba, au yule bwana wa ubwabwa waliwahi kubadilishwa lini?
Sasa wenyewe wapo kupambana na marehemu na kushadadia ugomvi wa Maccm..na bado wanasubiri eti watachukua nchi!Si tulishakubaliana kuwa:
1. Minyukano ndani ya CCM haitusaidii kwenye madai yetu ya katiba mpya.
2. Mwendazake hayupo tena, makando kando yake tuhangaike nayo kwenye "haki na maridhiano" baada ya katiba mpya.
3. Agenda yetu ni ya kudumu si marafiki.
Licha ya wizi,,,Unachukua nchi vipi kwenye wizi usiokuwa na kifani ule?