UKIFATILIA KWA MAKINI HUWEZI KUPATA KUPATA HOJA HALISI YA WALE WOTE WANAOTAKA KURUDIWA KWA UCHAGUZI,BALI UTASIKIA WAKISEMA UCHAGUZI ULIVURUGWA.TANGU MFUMO WA VYAMA VINGI UANZE TUMESIKIA MARA ZOTE WAPINZANI WAKILALAMIKIA UCHAGUZI KUVURUGWA NA KUTOKUWA HURU NA HAKI,HATA HIVYO HAIJAWAHI KUTOKEA UCHAGUZI KURUDIWA.
KWAHIYO NAFIKIRI CCM WANATAKA UCHAGUZI URUDIWE SI KWAMBA KUNA SABABU YA MSINGI ILA WANAJUA WAZI KUWA WALISHINDWA ILA WANATAKA WALAZIMISHE USHINDI KWA NAMNA YOYOTE ILE.
UNAYEBISHA NJOO NA SABABU ZA MSINGI ZA KURUDIA UCHAGUZI WOTE..MAANA KAMA KUNA MALALAMIKO WAELEZE NI JIMBO LIPI UCHAGUZI ULIVURUGWA ILI WARUDIE UCHAGUZI JIMBO HILO