Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 18,330
- 33,954
Hii nayo ni hoja ya msingi sana. Yule jamaa aliyekuwa akisema "Apigwe Lissu apigwe!" wenzake wanaitikia "Apigwee" alishabikiwa sana na wana CCM wenzake!!Wanadhani wao wako salama. Wanadhani wanakula matunda ya uhuru.
Jee ni sawa kwa chama kilichoko madarakani kunyanyasa wapinzani wake kisiasa.Hata siku ikatokea chama kingine mfano chadema kikashika dola, lazima viashiria kama hivyo vitatokea tu kwa wapinzani wake...
Lowasa uliyemtetea sana leo tena yupo CCM. Yapi maoni yako?Hii nayo ni hoja ya msingi sana. Yule jamaa aliyekuwa akisema "Apigwe Lissu apigwe!" wenzake wanaitikia "Apigwee" alishabikiwa sana na wana CCM wenzake!!
Jee ni sawa kwa chama kilichoko madarakani kunyanyasa wapinzani wake kisiasa.