Bro unaandika ukiwa dar au, niliwahi sema zamani kidogo maandamano ya arusha juzi Kati huku wakiwa na kibao cha kumpinga polepole kilinishangaza sio arusha nayoijua leo hii ili chadema wajaze mikutano mpaka wafanyie njia ya kuingia sokoni pale kwenye kijiwe cha kahawa au stendi bondeni ndani lasivyo wanaambulia patupu watu wako bize utafikiri chadema ni chama kipya inasikitisha sana yani arusha ya leo hadi wahuni wanavaa ccm