Kwanini CCM iwatukane Watanzania hivi?


hyo ni kweli mkuu, ccm wanatushangaa sisi watanzania kwa kututukana kabisa lakini sijui tumeziba masikio!!
 
Wewewe ndiye elimu yako ni mashaka makubwa.
 

Lakini hata mm nachelea kukubaliana na hicho, mbona yasemwayo na viongozi wa ukawa hamuyajadili? Au inawezekana na ww ni sehemu ya viroba na hukijiandikisha, kwa wakati mwingine ni ujinga unaofanyika FB, chungeni sana uchangiaji wenu.
 
Mm naamini hiyo kauli ni kweli, ila october 25 kila mtu ajiandae kuchukua kichinjio chake tayar kuwatoa ccm madarakan. Hebu vijana tuache maneno mengi ila tufanye kwa vitendo october 25
 
Sishangai maana Hata viongoz wakubwa sana ndan ya serikal hii nape huwatukanaga kuwaita makapi et kisa hawajateuliwa u rais ccm ni ya riz 1
 
Kweli bwana,huyu jamaa alisema kama huna nauli piga mbizi kwenda kigamboni.
 
Viroba ni pombe halali na inalipiwa kodi sasa ccm sijui wanaumwa nini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…