Habarini Wakuu,
Hivi kuna sababu gani kwa CCM kuwadharau,kuwakebehi na kuwatukana wanzania hivi? Hivi hawaoni thamani yetu?
Wametudharau kwa haya:-
-Wamewaita Vijana Wavuta bangi,Wanywa viroba,Vibaka
-Wamewaita waalimu Mbayuwayu (na wakati wana madai yao ya msingi)
-Maneno kama: kama huwezi kulipa nauli piga mbizi. Kweli?
-Tutashinda hata kwa goli la mkono.
Kwanini kuwaita watanzania Vibaka na wanywa viroba halafu bado unataka kura zao?
leta sera wewe.....mambo ya kutukanwa yametoka wapi....vithibitisho vikwapi umetukanwa??? post hainamashiko hii.....zinduka waza maendeleo wametukanwa wangapi...ndo maana hatuachi kuwa maskiini kushadadadia mambo yasiyo ya msingi...nawasiwasi na elimu yako...mtu alielimika hawez post vitu kama hivi