Kwanini CCM imehamishia mashambulizi Tanga?

Kwanini CCM imehamishia mashambulizi Tanga?

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,464
Reaction score
4,828
Wadau poleni kwa mihangaiko!

Kuna msemo maarufu hapa nchini ambao pengine unatokana na muziki wa wagosi wa Kaya unasema "TANGA KUNANI PALE"

Nami nikaamua kujiuliza Tanga kuna nini nyakati hizi karibia na uchaguzi mkuu?

Kuna orodha ndefu ya wastani ya viongozi wa CCM kuhamishia harakati zao za kisiasa jijini Tanga.

Mwenyekiti wa CCM

Katibu Mkuu wa CCM

Katibu Mwenezi wa CCM

Mwigulu Nchemba(nimesahau cheo chake ndani ya ccm)

Hawa ni baadhi ya wanaccm waliopitapita tanga mfululizo kwa siku za karibuni.

Ni ipi sababu kubwa ya ccm kukimbilia au kuhamishia mashambulizi Tanga?

Cc: mohamedmtoi
 
Last edited by a moderator:
kwa sababu ndomkoa pekee unaoikubali ccm kwa asilimia kubwa
 
Wanajaribu kuzuia ghalika kwa mikono, ikumbukwe ndiyo mkowa ambao umebaki 100% tegemeo kwa ccm.
UKAWA kupitia Chama cha CUF inauwezo mkubwa kuchukuwa zaid 70% ya viti mkowani Tanga
 
Unapouliza, "Kwanini CCM imehamishia mashambulizi Tanga" inabidi utueleze zaidi ili tukuelewe. 1. Kwani mashambulizi yao yalikuwa wapi kabla ya kuhamishiwa Tanga? 2. Mashambulizi hayo ni yapi na wana shambulia nani? nk. nk. nk.
 
Nafikiri ni mkoa ambao wapo nyuma kimageuzi pia ni rahisi kuplant ghost voter
 
Wanajaribu kuzuia ghalika kwa mikono, ikumbukwe ndiyo mkowa ambao umebaki 100% tegemeo kwa ccm.
UKAWA kupitia Chama cha CUF inauwezo mkubwa kuchukuwa zaid 70% ya viti mkowani Tanga
CUF inabdi waanze kuwekeza sana Taga kabla ya uchaguzi
 
Unapouliza, "Kwanini CCM imehamishia mashambulizi Tanga" inabidi utueleze zaidi ili tukuelewe. 1. Kwani mashambulizi yao yalikuwa wapi kabla ya kuhamishiwa Tanga? 2. Mashambulizi hayo ni yapi na wana shambulia nani? nk. nk. nk.

Ukiwa Great thinker hutakiwi kutafuniwa kila kitu.
 
jibu ni rahisi! Wanataka kujenga strong hold yao baada ya kuona mikoa mingine kuonyesha dalili za wazi za uelewa na kuikataa ccm
 
Mkoa wa Tanga ndio unaoongoza kwa kuwa na Wajinga wwngi. Ndio maana Chama Cha Mauaji kimepiga Kambi huko.
 
Wapiga kura wa Tanga ni zaidi ya milioni moja na ushehe!
 
Tanga UKAWA tuliwapa kichapo kitakatifu. Mtaani kwetu hawa kupata hata mjumbe.
 
imeenda kwa mafara iwadanganye na taarabu. lake zone wameaga
 
Tanga hawana uhakika nayo maana waliweka mapingamizi sasa hawajui game itakuwaje
 
Tanga Technical School, The Oldest Government School In Tanganyika, Imetoa Viongozi Kadhaa Nchi Hii Wakiwemo Marais Wawili Wa Nchi Hii.Ilisherekea Miaka 100 Tangu Ianze Mwaka 1995.
Mkoa wa Tanga ndio unaoongoza kwa kuwa na Wajinga wwngi. Ndio maana Chama Cha Mauaji kimepiga Kambi huko.
 
Back
Top Bottom