Ni hivi,suala la usafiri wa reli na watawala lina mgongano wa kimaslahi mdau,na ni kwamba watawala wengi wanamiliki malori,matajiri wengi wanamiliki malori na ni wafadhili wa SOSOEM,
Kihistoria reli imesaidia uchumi wa nchi kubwa mbalimbali(Germany,Belgium,Uk and US).
Jamaa nachoona hawatak kuihuisha reli kwa sababu itaharibu mipango yao ya kibiashara