kwanini ccm hawakubali ukweli.

Mwadui

Senior Member
Dec 17, 2010
102
2
hivi kwanini ccm hawapendi kukubali ukweli? jana Mh Mbowe wa Cdm alisema namsifu President kwa kukubakli kufanya mchakato wa kubadili katiba japo haikuwa kwenye ilani ccm ya uchaguzi ya 2010, Aliposimama Mh Shekifu wa Ccm, Akasema nampongeeza Mdogo wangu Mbowe lakin suala la katiba lilikuwa kwenye ilani yetu ya uchaguzi, Jamani wote tulihudhuria kampeni nani alisikia ccm wakisema watabadili katiba? au kama kuna mtu mwenye ilani ya ccm hebu atuambie huenda suala la katiba lilikuwepo ila hawakulisema,
 
Back
Top Bottom