Waluhwanoyena
JF-Expert Member
- Sep 19, 2018
- 387
- 453
Baada ya mfumo wa vyama vingi kuanza mwaka 1992, cream ya wanachama wa CCM walihama kuanzisha vyama vya upinzani likibaki ombwe hadi Leo. Hata wanachama wapyaWakuu habari za mda huu .
Natumaini nyote ni wazima wa afya kuna kitu nmekifikiri sana baada ya kuona viongozi wengi wa CCM kuonekana hawana maadali ya uongozi zaidi ya kuwa waropokaji tu zifuatazo ni sababu za hayo matatizo
1.CCM HIANA MFUMO WA KUANDAA VIONGOZI- hili nimeliona Sana tu unakuta kiongozi mfano mkuu wa mkoa mkuu wa wilaya au spika anaropoka tu wakati ukija kichunguza unagundua wengi wao walikuwa scouts tu wale wanaolinda mbio za MWENGE wamekuwa affected Kwa Moshi wa mwenge na bange ndyo maana tunapata viongozi waropokaji Sana
2. UONGOZI WA KURITHI - kitu kingne kinachopelekea kukosa viongozi makini na wenye weledi ni watoto wa wakubwa kuchomekwa chomekwa tu wenye uongozi ili waweze kuendesha maisha yao unakuta mtu anaongea ujinga tu kama amekatwa kichwa kumbe kawekwa tu kwenye position na mjomba wake au ndugu yake yeyote.
Naomba kuwasilisha hoja wakuu hizo ndyo sababu kuu zinazopelekea tuampata watu kama kina bashite katika nchi yetu na wengine kina Jane muuuuro .
Note: nawashauri sana wanaCCM waandae mfumo wa kupata viongozi sio kuwachomeka scouts walitoka kukimbiza mwenge ambao most of them kichwani ni weupe hata kama wameenda shule.
cream ilielekea hukohuko upinzani wakiacha chama chetu kongwe kama kilivo sasa.