assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,903
- 4,051
nimemuona wazee vikongwe wawili wakiambiwa watabomolewa eneo la nyuma ya klabu ya yanga. natamani kama wangepewa viwanja mbadala kule mabwepannde au sehemu nyingine.
swali.
ofisi za DART JANGWANI ZIMEJENGWA KWA SHERIA IPI?
swali.
ofisi za DART JANGWANI ZIMEJENGWA KWA SHERIA IPI?
Siku hizi ukienda pale viwanja vya Jangwani hutaona tena lile 'bonde la Jangwani lililokuwa linakusanya maji na kuyatiririsha mto Msimbazi' kaja mwekezaji wa DART kajaza kifusi na kukiinua juu ili maji yasimfikie! Huyu mwekezaji kaanza ujenzi miaka mmoja na nusu iliyopita!
Bahati mbaya sana wale walalahoi wa pale (ambao wengi hawakupewa fidia ya kuhama) Pamoja na wale wa maeneo ya Kigogo wamevurumishwa huku mwekezaji huyu akiachwa! Nini tatizo? Nani asiyelikumbuka lile bonde la Jangwani?
Tuna mengi yakujiuliza kuhusu hii bomoabomoa!
Last edited by a moderator: