cleaner wrasse
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 9,078
- 10,118
Cha kwanza nature haina aim yoyote. Mutation are random but natural selection is systematic. So huweza sema nature imeamua jambo. Viumbe wa kutaga mayai walitokea kipindi cha pangea. The environment was hot and dry so viumbe wengine at the time walikua wanataga kama chura. Hao reptile ndio viumbe wachache walioevolve kutaga mayai yenye kasha gumu so waliweza populate pangea maana waliweza taga popote.Kabla ya kuleta utopolo nijibu swali hili,,, aim ya nature kufanya organism wa evolve kutoka kutoa gelatinous eggs(fish and amphibians) to calcium shell(aves and reptiles) to storing eggs kwa placenta(mamals) ,, na kutoka kufanya external fertilisation to internal fertilisation ilikuwa ni nini?
Sio lamark maana his idea ya evolution imepingwa. Mimi nafuatilia darwinian theory of evolutionSo na wewe unarudi kwa lamark kwamba evolution ni blind force [emoji23][emoji23][emoji23]
A. Unachosema ni kile kile alichosema lamarkCha kwanza nature haina aim yoyote. Mutation are random but natural selection is systematic. So huweza sema nature imeamua jambo. Viumbe wa kutaga mayai walitokea kipindi cha pangea. The environment was hot and dry so viumbe wengine at the time walikua wanataga kama chura. Hao reptile ndio viumbe wachache walioevolve kutaga mayai yenye kasha gumu so waliweza populate pangea maana waliweza taga popote.
Hapo nimekuonyesha tuu nature/evolution has no plan or goal
Kuwa vascular organ doesn't mean ni part ya vascular system any organ that needs constant supply of blood to be useful ni vascular organ,,, na zina evolve tofauti na vascular system ukiachana na moyo tuUnafahamu kuwa placenta ni vascular organ?
Walau ungetumia sayansi kuangalia hekma ya wanaadamu kuumbwa wanazaa badala ya kutaga ili kupata mazingatio ningekuona unaakili.Ona umeshamleta Mungu kwenye mambo ya kisayansi kama haya... Hapo hujatoa jibu lolote zaidi ya kusifia kitu kisichokuwepo
Ndo maana nimekwambia kwa wenye imani ya uwepo wa Mungu.Mungu anaingiaje hapa? Unajipendekeza akuone mwema!!
Mleta mada ameleta mada kwa style ya kukosoa, yaani anaona kutaga ni bora kuliko kuzaa(anakosoa)Huu uzi watu wanaogopa kujifunza vitu. Tatizo ni lile lile hatuna radical thinkers. Ndio maana Afrika hatuendelei. Mtoa mada umeleta mada nzuri ya kuchangamsha Bongo ila wabongo wenyewe wapo busy na msimamo wa maamuzi ya Mungu [emoji23][emoji23]
Labda kwanza wewe uliyesema ndege hawakutokanq na dinosours ungetuambia mwalimu aliyekufundisha hivyo.A. Unachosema ni kile kile alichosema lamark
1. Evolutionary change ni capacity of an organism to react to a special conditions in his environment
2. Evolution is a result of blind primal forces
B. Nakupa homework kama mwenzio kasome directional natural selection then uje ufute kauli yako ya kuwa nature haiamui jambo[emoji23][emoji23]
C. Umechanganya madesa kati ya mutation na natural selection
Moja kati ya hyo ni force that maintain genetic variation ingine ni force that introduce genetic variation,,, hyo homework ya pili
D. Pangea ndo kipindi gani kwenye geological time scale [emoji23][emoji23] iko kwenye era gani kati ya paleozoic, mesozoic au cenozoic
E. Kasome forces of evolution vizuri and micro and macro evolution ukimaliza uje ufute ulichoandika,,,
Na wewe mwalimu wako anaitwa nani [emoji848][emoji848]
Mada hii ni swali.Mleta mada ameleta mada kwa style ya kukosoa, yaani anaona kutaga ni bora kuliko kuzaa(anakosoa)
Ila angekuwa na akili angejiuliza kwa nini wanaadamu tunazaa na hatutagi, ila apate mazingatio.
Maana bila shaka Mwenyezimungu aliyafanya haya kwa elimu na hekma.
Na haiwezekani wewe uliyepewa akili, uwe na elimu zaidi kuliko yule aliyekupa hiyo akili.
Hujatoa ufafanuzi wa adaptation na evolution.Nimegundua kitu unachanganya kati ya adaptation na evolution ndo maana[emoji848][emoji848]
It's your homework bruhHuj
Hujatoa ufafanuzi wa adaptation na evolution.
😃😃😃 Au kengeKwa maana nyingine ni kwamba unatamani kuwa ndege 😀😀😀😀
Archaepteryx sio dinosaur,, na ni only link kati ya reptile wakiwemo hao dinosaurs na aves,,, archaepteryx ni transition animals kama walivyokuwa crossoptyregianLabda kwanza wewe uliyesema ndege hawakutokanq na dinosours ungetuambia mwalimu aliyekufundisha hivyo.
Binadamu alijikuta tu mwanamke anazaa Wala sio Kwa matakwa yake,hata hao ndege na jamii ya kenge wote hawatagi Kwa kupendezwa kwao.Eti wandugu, kwanini binadamu tusingekuwa tunataga mayai kama mamba, ndege na mijusi? Kwa mtazamo wangu kutaga mayai kuna faida kuliko kuzaa!
Hakuhatarishi maisha ya mama wala kumfanya mgonjwa kwa miezi tisa. Pia naona ni salama zaidi kwa mtoto anayetotolewa. Kama kuzaa kunafaida zaidi naomba kuelimishwa.
Kwa uelewa wako adaptation ni nini, na evolution ni nini? Kama huelewi unasema.It's your homework bruh
Mkuu jaribu kuwa na hofu kidogo na aliyekuumba (Mungu - Kwa sisi tunaoamini uwepo wake na kwamba ndiye aliyetuumba) aliona faida ya wewe
Mungu amekujaje tena?Mungu hana ID humu. Unajaza server bure!
Hivi hao mods wa jf ninaosikia wako makin hebu wajarib kuzipotezea threads kadhaa kuirudishia heshma jf. Nakubaliana na mawazo huru lakin mengine yaishie kijiwen tu kiroho safi