Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,603
- 20,507
Baba kaenda kutafuta.Aisee
Kichwa Cha Familia hiki
Ukila ban we tumikia kifungo π€£Halafu mnanipiga Ban humu,Hii haki kweli? Ningeyajuaje haya...
Binadamu ni mammalia sababu anazaa, siyo anazaa sababu ni mammalia. Kwani mpaka uatamie? Mamba ni mkubwa na mzito kuliko binadamu lakini anataga, wala haatamii.Kwasababu Binadamu ni Mamalia. Ukitaka Atage ni sawa na Tembo nae Atage ushawaza Yai la Tembo litakuwaje na ataliatamiaje kulipa Joto mpaka litotoe?
Pia kumbuka, viumbe wanaotaga hawatagi Yai 1 ni Mayai. Sasa uwe unafikiria cha kuandika humu ndugu.
Umewahi jiuliza kuzaa na kutaga kipi bora?Kwa maana nyingine ni kwamba unatamani kuwa ndege ππππ
Pombe unaionea. Kuna vitu vikitumika "vizuri" ndiyo huleta matokeo ya kutaka kutaga.Teh!Tukiipiga pombe vita mnatuona wabaya. Haya sasa oneni hii nini??
ππ Kumbe baba yuko busy na simu akiandaa uzi wake wa kutamani kutaga mayai kama ndege! Halafu ayatotoe! πBaba kaenda kutafuta.
Au wanaona upo busy na simu sebuleni wanasema baba atakua anachat na madalali wa nyanya Ilula.
Mawazo kama haya mpaka yanijie sijui nitakuwa katika hali gan πππUmewahi jiuliza kuzaa na kutaga kipi bora?
Unavyotahiri unamaanisha mungu alikosea kukuumba na govi? Wewe unaona kuzaa kunafaida gani zaidi ya kutaga?Anamaanisha hivi Mungu hakuona ulazima wa binadamu kutaga kuliko hii kuzaa
Ili kuendana na dunia vizuri kwa nyakati za mbele???