mi niko tofauti kidogo,ndoa nyng zinazovunjika ni zile za party kubwa regardles mmeishi miaka mingi au ndo mmekutana hapo kuna mawili..Either kufuru ya ndoa yenu imewahuzunisha watu hasa wasio nacho au kuna mkono wa mtu hasa kwenye zawadi tupewazo tuwe na utaratibu wa kuziombea kabla ya kuzitumia...ht km ni kiburi cha ndoa kuachana after 4days!!!!???...