Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,949
- 74,431
Katika kipindi cha awamu ya NNE serikali ilijiunga na mpango wa kidunia uitwao OPEN GOVERNMENT PARTNERSHIP (OGP) ambao ulikuwa unaweka uwazi wa shughuli mbalimbali za serikali kwa wananchi wake. Watanzania na kupitia Bunge lao waliukubali na kuupenda mpango huo.
Ajabu ni kuwa baada ya awamu ya tano kuingia madarakani, serikali ilijitoa huko na kuagiza kuwa mambo yote yatafanyika kwa usiri kiasi kuwa hata wabunge hawatajua nini kinaendelea.
Msikilizeni Rais Kikwete akielezea umuhimu wa OGP alipohojiwa na Maria Sarungi. Nini kimefanya hawa wenzetu kuamua kujitoa na kuendekeza usiri?