Kwanini askari wa usalama barabarani hawatoi risiti za kielekroniki?

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,519
Wenye magari wanapokutwa na makosa mbaimbali yanayohusu barabara au kasoro mbalimbali kwenye magari yao hutozwa faini kulingana na kosa lake lakini linapokuja suala la risiti unapewa tu karatasi inayokuonyesha kosa ulilolitenda na siyo risiti.

Hapa kuna shaka kama fedha hizi za faini zinaingia kwenye mkondo halali yaani mfuko mkuu wa Serikali. Wanashindwaje kutoa risiti za kielekroniki kama pote sasa hivi risiti za kielekroniki ndizo zinazotumika iwe ni kwenye masoko huko Vijijini, Parking system zote za mijini?

Mhe.Waziri ya Mambo ya Ndani, hakikisha Maaskari wa Usalama Barabarani wanakuwa na risiti za kielekroniki vinginevyo ugomvi utakaotokea baina ya maaskari wako na wenye vyombo vya usafiri utakuwa ni mkubwa.
 
Back
Top Bottom