Tunapinga utekaji, kutesa na kuua raia. Ila jamani na wakosoaji tuwe tunakosoa kwa hoja sio kwa lugha chafu.! Yule kijana anayatupa matusi sio mchezo, hata ukipitia page yake uko twitter ni aibu.
Tujifunze kuchukuliana, hata km mtu mmepishana basi mpingane kwa hoja.
Matusi yanaumiza tuache unafiki, ila isiwe ndio kigezo cha kujichukulia sheria mkononi