Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani?

Hakuna kitu kama hicho tunapita maeneo na hayo tunawarushia maji ya kunywa. Kawadanganye wasiofika huko. Kwa ufupi mkoa wa Arusha robo tatu ya wakazi wake ni chokambaya tu.
 
Kwani Mbagala ipo mbeya?

Unajua maana ya mipaka? Unajua Thread inazungumzia nini? Elimu Elimu Elimu.

Rudi usome title kwanza.

Wabongo elimu yetu ni mbovu sana inafundisha watu kukariri badala ya kuelewa.....Kuna Dogo ametred sana week hii anatoka fedha mshindi wa tatu hesabu ,elimu ya TZ ikifikia ikawa na wanafunzi kama wale aisee tungefika mbali.

Tatizo tuna vijana empty set wa kutosha ndiyo maana viongozi wanatubuluza tu....imagine thread inazungumzia mbagala kwanini ardhi yake aina thamani halafu mtu anaanza kuzungumzia mambo nje ya mada na kutaka kujikita huko.
 
Eti duni daah,[emoji23]
 
Umechambua vizur sana
 
Kama hata lugha ya dhihaka hujui ndio utajua maana ya elimu?

Mjinga ni mjinga tu
Elimu elimu elimu yenyewe hata huna
 
Kama hata lugha ya dhihaka hujui ndio utajua maana ya elimu?

Mjinga ni mjinga tu
Elimu elimu elimu yenyewe hata huna

Lengo langu ni kwamba ujikite kwenye muktadha na sio kupayukapayuka! Kwanini Ardhi ya mbagala haina thamani? Jibu langu lilikuwa kwasababu mbagala haijapimwa means wakazi wa huko wanaishi Uswekeni kwenye skwata.....skwata haiwezi kuwa na thamani....sasa sijui mambo ya Mbeya uliyatolea wapi.
 
Ndio maana huna akili
Kasome tena kwa nini uliulizwa hilo swali
 
Hakuna kitu kama hicho tunapita maeneo na hayo tunawarushia maji ya kunywa. Kawadanganye wasiofika huko. Kwa ufupi mkoa wa Arusha robo tatu ya wakazi wake ni chokambaya tu.
kwa taarifa yako,ata NEWYORK kuna ombaomba,nenda NAPOLI,ONTARIO,MILAN,LONDON,kote huko kuna ombaomba,INDIA nchi yenye watu wengi na utajiri mkubwa,ikifika usiku baadhi ya mitaa inafungwa ili maskini walale bararani.....njoo posta ,samora avenue ndani ya jiji la DSM karibu na IKULU utakutana na ombaomba,,,,wewe jamaa vipi?.....vutaga bange kidogo basi akili yako ikawe sawa!!!!
 
ushirikina ni kumshirikisha MUNGU na hayyawani wengine ambao mawakala wa shetani kama waganga majini wabaya,vinyamkera n.k,mawakala wa MUNGU ni malaika,wachungaji,masheikh,mapadre,masista,n.k....sasa nakuuliza ulishawai kumwona mganga wa kimasai{wao ni watu wa mitishamba, na sio wapiga ramli kama wewe,ulishawai kwenda kwa mganga ukakutana na mmasai wewe mwenye akikli isiyo ganda!!!mmasai sio maskini weweeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!! zunguna miji yote TANZANIA kama utakutana na ombaomba mmsai,narudia zunguka nchi nzima kama utakutana na ombaomba!!!!!,,,swali la wazungu kuhesabiwa siwezi kukujibu manake limekakaaa kimlendamlmenda.........................................kanuse ugoro labda utakaa sawa!!
 
Ndio maana huna akili
Kasome tena kwa nini uliulizwa hilo swali

Elimu Elimu Elimu ,Ujuaji mwingi kumbe empty set aka Zero Brain ,watu wanazungumzia mbagala kisha unaleta ushamba wako ,ndiyo tatizo la kuja mjini na gari ya mizigo.
 
Miaka nenda miaka rudi, ardhi ya Mbagala imekuwa haina thamani pamoja na kuwa na watu wengi. Nenda Goba, kivumbi, miji ya juzi. Mbagala ya zamani haina hadhi mpaka leo. kwanini?
Kwasababu baada ya Kila nyumba Moja jalala!!
 
Miaka nenda miaka rudi, ardhi ya Mbagala imekuwa haina thamani pamoja na kuwa na watu wengi. Nenda Goba, kivumbi, miji ya juzi. Mbagala ya zamani haina hadhi mpaka leo. kwanini?
Thamani kwako ni shilingi ngapi?
pale rangi tatu Kuna nyumba zinauzwa hadi milioni 800
 
Mshamba hachekwi

Next time usiende nje ya mada ,jaribu kuelewa mada kwanza ndipo uchangie vizuri ,kwenye chit chat huko unaweza kuchangia chochote lakini kwenye mijadala ya kujenga ni kujikita kwenye context....

Ukiona mtu anatukana tukana hovyo hovyo uje hana hoja ya msingi.

Swali: Kwanini ardhi ya mbagala haina thamani?

Jibu Langu: Kwasababu ardhi ya mbagala haijapimwa.

Jibu lako: Ardhi ya Tanzania 90% haijapimwa 😀 .
 
Miaka nenda miaka rudi, ardhi ya Mbagala imekuwa haina thamani pamoja na kuwa na watu wengi. Nenda Goba, kivumbi, miji ya juzi. Mbagala ya zamani haina hadhi mpaka leo. kwanini?
Tatizo meaneo mengi hayajapangiliwa hivyo kuwa vigumu kupitisha miundo mbinu kama vile Barabara maji umeme ambavyo ni muhimu viwepo ndipo thamani ipande
 
Kufanya makazi ni mojawapo ya kutafuta pesa pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…