MB9na hapa mada mbagala mambo ya uislamu yametoka wapi?Waislamu mwaka huu watakoma.......yameibuka mashambulizi juu yao hata sielewi kisa ni nini?!!! Ni kejeli, ni matusi, ni shari juu yao mwanzo mwisho. Wengine wanaotukana ni wale waliofundishwa na waislamu hao hao namna ya kuvaa, kuongea na hata ustaarabu wa kuchamba. Walitoka kwao bara huko wakilalia ngozi mbichi za ng'ombe huku wengine wakikaa uchi pamoja na dada zao huku wakitumia magunzi ya mahindi kuchambia. Wakafika pwani (kwa waislamu) wakapokelewa na kuelekezwa wajihi wa kibinadamu ukoje hadi kuelewa, leo wanawatukana bila sababu.
M/Mungu atie wepesi wapite mtihani huu pia kama walivyopita mingine!
Soma wadau walichokiandika rafiki ingawa it might offensive. Eti wengi wao ni wa ile dini na hivyo usitegemee mabadiriko as long as kwao kwenda shule siyo muhimu, elimu ahera ndiyo muhimu. Na nikiangalia hapa nilipo majority ukanda wa pwani kusini kati ni wa dini ile, shida tupu.Kuna ardhi zilizo barikiwa na zipo ardhi zilizo laaniwa
manji alitafuta kwenye watu hoha hahe awedanganye na vijisenti.Baki hivyo wakati akina Manji mabilionea walikuwa na maeneo hadi kuwa diwani wa Mbagala kuu.
1. Wa moja haitokaa apate mbili, na wa mbili haitokaa apate moja.....hilo litaenda hivyo mpaka dunia itaisha ndg yangu.Kuna wakati ninyi wenye dini yenu mnakuwa kama ”wapumbavu na mambumbumbu”,sote tunajua binadamu yeyote kadiri anavyokuwa ndivyo anavyozidi kupata maarifa ya kutumia nyenzo zilizo karibu naye kama maji sasa huo ujinga wa kujisifia kufundisha watu namna ya kujisafisha uchafu wakitoka haja kubwa mnaouringia watu wameutumia miaka na miaka tena wakiwa huko huko kwao bara.
Ni ujinga kukaza shingo kujisifia ujinga,em niambie,Kwa hiyo mlikuwa mnawafundisha hao wabara ”kuchamba” mkiwa mmewasimamia na fimbo humo mavyooni au?na wewe nikuulize ulifundishwa namna ya kuchamba na mtu au ulijifunza mwenyewe?
Kwa akili hizi hamuwezi kuacha kudharaulika,it's ridiculous nakwambia badilikeni.
Nilikuwa naijibu post flani hv ambayo iliingiza mambo hayo, nimesahau kuiquote. Sikuibuka kutoka kusikojulikana.MB9na hapa mada mbagala mambo ya uislamu yametoka wapi?
Sijui wanatumia vigezo gani. Tunajua ustaarabu unakuwa reinforced na elimu. sasa kamaelimu dunia kwao ni haramu ustaarabu utatoka wapi? au ustaarabu ni inborn?Mbona watu wanasema jamii ya ukanda wa pwani ndiyo wastaarabu na ustaarabu ndiyo jadi yao Wabara wao wanaiga tu ustaarabu?
Sio kwa povu hili..ila mbagala pakichoko sana hasa wakazi wahuko.Hawa waswahili wa jamiiforums ni most arrogant, presumptuous and uppity suckers sijawahi ona full of condescension. Utakuta mtu anaandika haya kama yupo surbubs las vegas, manhattan new york au Massachusetts.
Kumbe kisa anaishi mbezi! au mikoani ndanindani huko vijijini anakula miwa.
Sehemu ninayokaa mimi ni mbagala na kuna nyumba kubwa za kisasa full geti zimejipanga vizuri. au nyie mnaongelea mbagala ipi?
Dar nzima mimi sioni tofauti yoyote, ni vumbi tu. na most wanaoandika hizi pumba utakuta wanatokea mikoani, hawatembei or some jobless idiots.
Na bado kuna wale mbuzi waliokunywa maji ya dini, religious fanatics na nonsense za ajabuajabu. wth? hauna kazi?
So damn strange! na bado kuna mjinga anaongelea civilization na hapohapo yeye anadefine na kugeneralize watu kutokana na dini?
What is this? nashangaa sana upeo wa watu wa JF, Na haya ndio madhara ya kujiona smart na una akili sana kuliko uhalisia.
Mara zote watu wenye uwezo mdogo kiakili huwa wanakosa uwezo wa kutambua udhaifu wao wenyewe, dunning kruger effect.
Watu wa jamiiforums sijawahi kukutana nao maishani kwangu, I guess fake IDs zinafichua uhalisia.
Africans are just a bunch of talking monkies.
We unaishi mtoni ipi?Acha pumpupampa ile ni Mbagala kijichi, sisi wa mtoni tulishawakataa
Acha kujipa moyo kijinga..ndio mana mnajiripua kise..gerema.Waislam dunia sio mahala pao pa starehe hapa ni jahanamu, targert yao sio duniani, kwa hiyo hizo dini ulizotaja zina haki ya kustarehe duniani, ambapo maisha yake ni mafupi, watu wana targert za milele.
Huijui mbagala. Hiv mnajua nyumba aliyopanga jokate (kwa mamunyange) Analipa kias gan Kwa mwez?
Hao wa ghuba bila mafuta ni njaa kali sana..na tunakoelekea watarudi njaa kali technology inahamia kwenye sustainable renewable energy.Sio kweli, ukibahatika kutembelea mataifa ya kiislamu ya ghuba hutaandika hivi.
Mbagala unaijua vizuri wewe au unaandika tu kwa kusimuliwa. Leo Mbagala rangi 3 unaijua Bei ya fremu? Bila milion 1 hupati frem, Kijichi Bado ni Mbagala lakin Kiwanja mpaka milion 100, hiyo Zachkem hupati kiwanja, lazima umvue mtu bila milion 200 hutoi mtu wewe unaongea nini
Ukiondoa mafuta wananini cha maana??Lkn umeonaje maendeleo yao kama NCHI?
Mfano Nchi hizi ndizo hazina mfumo wa Kupiga kura ni absolutely monarchy na ndio NCHI asilimia 100% ni waislam hebu dadavua kidogo tuje unaelewa nini kuhusu maendeleo.
1)Saudi Arabia
2)Qatar
3)U.A.E
4)Kuwait
5)Oman
6)Bahrain
Mbagala unaijua vizuri wewe au unaandika tu kwa kusimuliwa. Leo Mbagala rangi 3 unaijua Bei ya fremu? Bila milion 1 hupati frem, Kijichi Bado ni Mbagala lakin Kiwanja mpaka milion 100, hiyo Zachkem hupati kiwanja, lazima umvue mtu bila milion 200 hutoi mtu wewe unaongea nini
Ungeyajuaje Sasa? Kijichi si wanasema mbagala. Jokate anaishi karibu na hospitali ya kata ya kijichiJokate anaishi mbagala ipi?
Ungeyajuaje Sasa? Kijichi si wanasema mbagala. Jokate anaishi karibu na hospitali ya kata ya kijichi
Wakristo wanaoa mke mmoja tu hadi kifo kiwatenganishe lakini wanaume waislamu ruksa kuoa wake wanne hapa duniani nani hapo anapenda dunia kitandani kuliko mwingine?Waislam dunia sio mahala pao pa starehe hapa ni jahanamu, targert yao sio duniani, kwa hiyo hizo dini ulizotaja zina haki ya kustarehe duniani, ambapo maisha yake ni mafupi, watu wana targert za milele.
Wakristo wanaoa mke mmoja tu hadi kifo kiwatenganishe lakini wanaume waislamu ruksa kuoa wake wanne hapa duniani nani hapo anapenda dunia kitandani kuliko mwingine?
Mwislamu kila siku anabadilisha wanawake wa ndoa leo Yuko kwa Asha Ngedere ,Kesho yuko kwa Hadija Nichokonoe,Keshokutwa yuko kwa Mwajuma Kigodoro,mtondogoo yuko kwa Halima Muuza Vichwa vya kuku anaparamia
Kote ananing'inia kwenye vifua vya wanawake wake wake zake! Akila starehe za dunia
Nani mpenda dunia na starehe hapo? Kati ya Mkristo na Muislamu?