Kwanini Arafa anikatae mimi tu?

Kwanini Arafa anikatae mimi tu?

Kuna mawili tuu hapo, huna hela ya kuhonga ili upate mzigo au anakupenda sana hataki kukuumiza!
 
Arafa huyuu! Yaani nashindwa kuelewa kabisa.

Katoto kazuri ka kirangi, kafupi kidogo, cheupe, nyuma kafunga mzigo, dabo kabini, kifurushi cha haja kimejaa si mchezo!
Akipita lazima uvunje shingo.

Nilimtaka kwa muda mrefu sana, ila ananisumbua kichizi. Nikaja kusikia story kwa wadau kumbe wanajipigia tu. Wadau wanasema ni mimi tu ndo ananibania.

Tatizo ni kwamba hanipi nafasi nimpange, yaani anaruka ruka mno. Napata tabu sana kumshawishi huyu mchumba. Sijawahi kusumbuliwa na demu kiasi hiki.

Mnanishauri vipi wakuu kwenye hili.
Gundu
 
Back
Top Bottom