Kwanini ananidanganya huyo mwanamke?

HaMachiach

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
3,448
Reaction score
6,211
Habari ya asubuhi wakuu,

Ilikuwa mwezi wa 3 mwaka huu nilipo safiri kuja Dodoma kufanya kazi maramoja katika wiki hiyo, nilikutana na mrembo hapo ofisini tukapendana japo hatukufanya chochote nilipomaliza kazi iliyonileta niliondoka tulikuwa tunawasiliana tu bahati mbaya yeye alipoteza simu.

Nikawa nawasiliana nae kupitia rafiki yake wa kufa na kuzikana ikatokea wote wakaenda likizo nikashindwa kumpata maana hakunitaarifu na mimi nikapotezana na huyo rafiki yake mwezi wa 7.

Nikawa napita Dodoma naelekea Mwanza nikashuka hapo nikaenda kumcheki ofisini kwao rafiki yake akaniambia leo hajaja kazini huyo msichana wangu nikamuomba namba akanipa ya uongo maana haikupatikana hadi leo.

Sasa Jana nimekuja Dodoma nikaenda kumwona ofisini kwao sikumkuta hata rafiki yake hakuwepo nilipouliza nikaambiwa aliacha kazi mda mrefu hata namba zake hawana wakanipa ya rafiki yake nikampigia akaniambia yupo sokoni Majengo, nikaenda alicho niambia kuwa huyo demu ashaolewa kitambo na kazi alishaacha.

Nikaomba namba akasema yeye aliifuta ila ya mumewake anayo hivyo akampigia huyo mtu akamtumia wakaongea na mimi nikaongea nae nikajifanya sijui chochote eti analia anasema uliniacha jamani nmekumiss.

Nikamwambia nitakutafuta badae huyo rafiki akaniambia mengi mno kuwa yule Malaya anataka kula marambili nikaondoka nikamfwata yule msichana tukaongea mengi kalia wee, nikamuuliza umeolewa akasema hapana tukakubaliana aje leo nipime oil.

Sasa wakuu hapa sielewi ukweli ni upi ila dalili zinaonyesha kaolewa.

Sijui nifanyeje wakuu.
 
Nenda na vilainishi huko unapokwenda kumpima mke wa mtu oil, lolote linaweza kutokea usiseme Tantaw sikukupa tahadhari!!!
 
Unajigeuza nzi kufia kwenye kidonda?
 
Kumbuka Kuna Ukimwi
 
Akili zingine sijui zinawaza nini na zinaelekea wapi, Mungu akusaidie UJITAMBUE
 
kWA HIYO UPO dODOMA UNAENDA mWANZA
 
zima siku ondoka Mara moja.utakufa wewe mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…