Greg50
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 1,987
- 2,502
Habari wakuu,
Natumiaga afrobox kwa simu inapiga kazi vizuri, sasa leo nataka kuitumia kwa laptop nimetumia ile software ya bluestacks kuinstall vizuri, lakini nikiplay channel mfano clouds tv inaonesha nyeusi tu, je kuna software nyingine natakiwa kuwa nayo kwa laptop ili ioneshe au inakuaje? Msaada wakuu.