Pengine zile Saccos zilizokuwa zinachota hela za NSSF zina uhusiano na ACT? Ulishamsikia Zitto wakati akiwa mwenyekiti wa PAC anasema chochote kuhusu au hata makontena yalivyokuwa yanapotea bandarini licha ya kwamba mashirika hayo yalikuwa chini ya Kamati yake?
Nikiangalia hizo comment zenu nagundua ni walewale mpinga zzk,hii kazi sijui mnalipwa ujira kiasi gani,hamkuianza leo,bahati mbaya yenu wenye akili kubwa wanazidi kumuelewa.