Tagawa Mwakitombile
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 468
- 398
sikupingi ingekuwa muvi inaitwa Tanganyika NYERERE ni main character ,vivyo hivyo ingeitwa Zanzibar KARUME angekuwa ni main character , so linapo kuja suala la pamoja kwanini heshima ziwe tofauti??
Pia kuna muvi zina staring wawili (ref DOUBLE IMPACT) Ya jean claud van dame
sikupingi ingekuwa muvi inaitwa Tanganyika NYERERE ni main character ,vivyo hivyo ingeitwa Zanzibar KARUME angekuwa ni main character , so linapo kuja suala la pamoja kwanini heshima ziwe tofauti??
Pia kuna muvi zina staring wawili (ref DOUBLE IMPACT) Ya jean claud van dame
huyo unayeona ana vigezo,ni vigezo gani hivyo?Taifa kama ilivyo familia, haliwezi kuwa na Baba wawili.
Lakini pia Hana vigezo.
Ni mawazo ya kawaida ambayo yakuja wakati flani unapo fanya tafakuri ya hili na lileKwani umewaza nini mpaka ukauliza swali hilo??
Sasa wale sykes family wataitwaje?JK NYerere baba wa taifa
BIBI Titi mama wa taifa
Kambona mjomba wa taifa
Karume binamu wa taifa
Kawawa kakae wa taifa
Newton alikufa na miaka 85naweza nisikubaliane na wewe mkuu wangu hasa hapa kwenye umri ,maana dunia imeshuhudia wanasayansi nguli kweli kweli na wenye heshima zao Kama ISAACK NEWTON richa ya kuishi miaka michache ,nadhani kuhusu suala la kukumbukwa ni LEGACY aliyo iacha MTU
.
Na sikati kuwa NYERERE kwa kwetu bara anayo legacy kubwa lakini vipi kwa huko visiwani ? Ni kweli kwamba alimzidi KARUME katika mipaka take?
Newton alikufa na miaka 85
ABEID AMANI KARUME BABA WA TAIFA LA JAMHURI YA WATU WA ZANZIBARHeshima kwenu Sana JF
.
Leo katika kumbukizi ya kifo cha MWL.JULIUS KAMBARAGE NYERERE , kuna mambo mengi Sana natamani ni yajue
Mosi ; ikiwa tuna fahamu ya kuwa Tanzania ni nchi ambayo imetokana na muunganiko Wa mataifa haya mawili yaani Tanganyika na Zanzibar
.
Pia tunajua fika kuwa kabla ya muunganiko huu mataifa haya yalikuwa na waasisi wake ambao ni MZEE KARUME & MZEE JULIUS
.
Hapo awali nilifikiri hii sentensi ya "BABA WA TAIFA " Ipo katika nafsi ya uwingi kwa maana ya kuwa tuna baba zetu Wa TAIFA wawili
.
Lakini ajabu ni kuwa Tanzania tuna mtambua mzee nyerere pekee Kama baba Wa TAIFA hili kwanini?
Natamani wajuzi Wa mambo mnifahamishe kuhusu hili
ABEID AMANI KARUME BABA WA TAIFA LA JAMHURI YA WATU WA ZANZIBARJibu ni rahisi mkuu,,nyerere ndio raisi wa kwanza was Tanzania, pili ndio raisi aliesave muda mrefu pia kaacha mafanikio mengi Tanzania I mean Zanzibar na Tanganyika
Karume alikuwa raisi wa Zanzibar so hajaqulify kuwa baba wa Taifa labda aitwe baba wa Zanzibar
Isaac Newton aliishi miaka mingi kuliko Nyerere.maana dunia imeshuhudia wanasayansi nguli kweli kweli na wenye heshima zao Kama ISAACK NEWTON richa ya kuishi miaka michache ,nadhani kuhusu suala la kukumbukwa ni LEGACY aliyo iacha MTU